Hizi ni behewa mpya za SGR? Naona zipo zinapiga kazi

Hayo sio... angalia milango na madirisha... ukifanya rejea ya yale mawili ya sample...

Labda kama haya ni miongoni ambayo yatafanya kazi ktk reli ya zamani
 
Yameanza kw aSGR au reli ya mkoloni ya kawaida
 
Inasikitisha Sana ,Huku bil 7.2 mara huku 26m $ aiseeee hatari sana.
 
Onjeshaonjesha itakuwa lini nipige trip Moro - Dar nishuhudie utukufu wa Dr. Samia
 
Kwahiyo yanaingiliana na reli ya zamani
 
Kwahiyo sio ya umeme?
Hiyo reli si pale chini baada ya raundi abouti kuelekea njia kuu ya upigaji?

Wameshaweka zile waya tayari?
 
Mbona yapo kwenye reli ya zaman , au mm CIO fresh
 
Onjeshaonjesha itakuwa lini nipige trip Moro - Dar nishuhudie utukufu wa Dr. Samia
Mradi kauanzisha Magufuli, sifa zinamuendea Samia!

Lakini wenye kumbukumbu hatushangai! Maana hata enzi za Magufuli; pia alipambwa kwa sifa kedekede pale alipozindua miradi iliyoanzishwa na mtangulizi wake. Kwa hiyo kutesa kwa zamu.
 
Wamesema yule tumwache apomzike si busara kumtajataja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…