Hizi ni behewa mpya za SGR? Naona zipo zinapiga kazi

Hizi ni behewa mpya za SGR? Naona zipo zinapiga kazi

Safi sana kazi nzuri yaani hayo mabehewa ndani ni mazuri sana ukiangalia kwa nje unasema tumepigwa kumbe da very luxurious
Suala sio luxury, shida ni designing imepitwa na wakati..hauonagi yale matreni ya mbele mbele hukoo
 
Safi sana kazi nzuri yaani hayo mabehewa ndani ni mazuri sana ukiangalia kwa nje unasema tumepigwa kumbe da very luxurious
Watayanyea tu na kuchana viti
Feni wataiba ingawa naona ndani kuna mpaka camera ingawa hazitasidia lolote maana sura ya mtu akiiba ikiwa Moro akaenda Kigoma ndio hamumjui tena

Wengi hawana hata vitambulisho bado
Wameyatukana mabehewa ila subiri mwezi tu utaona uchakavu wake ndani
 
Back
Top Bottom