diesel engine
Member
- Mar 10, 2020
- 16
- 32
Nimeingia Leo alibaba nimeshangaa Sana kuona trekta yanauzwa bei ndogo Sana je hizi ni bei zake au Kuna kitu kingine kinaendelea,, mwenye uzoefu pls anijuze.... Nimeambatanisha na picha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio bei halisi.Nimeingia Leo alibaba nimeshangaa Sana kuona trekta yanauzwa bei ndogo Sana je hizi ni bei zake au Kuna kitu kingine kinaendelea
Sio bei halisi.
Bei halisi utaipata baada ya kuwasiliana na muuzaji...
Sio bei halisi.
Bei halisi utaipata baada ya kuwasiliana na muuzaji.
Utapewa gharama ya Trekta na gharama ya kusafirisha hadi nchini.
Hivyo kwa alibaba bidhaa zote bei walizoweka sio halisi, Pia inatakiw aufahamu bei itatokana na kiasi cha mzigo utakachochukua, wamekuandikia hapo MOQ ( Mininum Order Quantity )
- Atakaye nunua trekta moja bei yake itakuwa ni tofauti na yule aliyechukua matrekta 50