Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wingi wa mashabiki kwenye mikutano haimaanishi kitu, from past experience wengi wao hawapigi kura. Ikifika siku ya uchaguzi ohoo wako kwenye mihangaiko yao ya maisha.
Wewe endelea kujidanganya na 'past experience' as if waTZ wapo static. Ninachotaka utambue, ufahamu, uelewe na ujue ni kuwa waTZ wa leo siyo wa jana. Kalagabakho!
JK aanze tu kujijengea mazingira ya kukubali matokeo ya yeye kushindwa vibaya sana. Aache kutumia vyombo vya dola ikiwemo usalama kuchakachua matokeo. Tumechoka uchumi wa nchi yetu kukaa mikononi mwa jangili Rostam Azizi.