Hizi ni dalili za maradhi yapi?

Hizi ni dalili za maradhi yapi?

The Donchop

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2014
Posts
294
Reaction score
378
Habari zenu wanajamii wenzangu?
Naomba kusaidiwa. Mimi ni mwanamke ambaye mzunguko wa hedhi ni siku 28. Mwezi uliopita period yangu ilikua tarehe 23 sep ambapo tarehe 29sep na 30 sep nilifanya sex.
Tatizo limekuja kua toka tarehe 11 Oct hadi muda huu ninapata dalili zote za kuingia period tena. Mfano maziwa kuuma na kujaa sana, ninapata chunusi usoni kama vile ninapokaribia period wakati ndio kwanza siku ya 13.
Nimejaribu kupima mimba kwa kutumia pregnancy test hapa nyumbani lakini vipimo vinaonyesha negative.
Napata mashaka labda nina tatizo fulani au kwa wataalamu tafadhali msaada kwa hali hii inayonitokea, ni mara ya kwanza kupata hali kama hii maishani mwangu.
 
Habari zenu wanajamii wenzangu?
Naomba kusaidiwa. Mimi ni mwanamke ambaye mzunguko wa hedhi ni siku 28. Mwezi uliopita period yangu ilikua tarehe 23 october ambapo tarehe 29 oct na 30 oct nilifanya sex.
Tatizo limekuja kua toka tarehe 11 Nov hadi muda huu ninapata dalili zote za kuingia period tena. Mfano maziwa kuuma na kujaa sana, ninapata chunusi usoni kama vile ninapokaribia period wakati ndio kwanza siku ya 13.

unaumli gani?
 
Hii post umefanya C&P. Mbona hizo tarehe ni chenga sana.
 
Yaani Terehe 29 na 30 Consecutive unatinduliwa? Kazi mnafanya mda gani? Acha kuendekeza Ngono!! Kuna MKONO WA NYANI.
 
november?? au mimi ndo nnaeumwa jamani
 
Rudia kuandika vizuri miezi uliyoandika ni ya mwaka 2017?
Habari zenu wanajamii wenzangu?
Naomba kusaidiwa. Mimi ni mwanamke ambaye mzunguko wa hedhi ni siku 28. Mwezi uliopita period yangu ilikua tarehe 23 october ambapo tarehe 29 oct na 30 oct nilifanya sex.
Tatizo limekuja kua toka tarehe 11 Nov hadi muda huu ninapata dalili zote za kuingia period tena. Mfano maziwa kuuma na kujaa sana, ninapata chunusi usoni kama vile ninapokaribia period wakati ndio kwanza siku ya 13.
Nimejaribu kupima mimba kwa kutumia pregnancy test hapa nyumbani lakini vipimo vinaonyesha negative.
Napata mashaka labda nina tatizo fulani au kwa wataalamu tafadhali msaada kwa hali hii inayonitokea, ni mara ya kwanza kupata hali kama hii maishani mwangu.
 
Sina sababu ya C n P kweli nina shida mkuu
Nimekuelewa ndugu.
Ila ni mapema mno kuhisi mimba. Jipe muda kidogo. Hizo dalili si lazima ziwe za mimba.
Ila kuna rare cases ambazo mwanamke anaweza kupata ovulation wakati yupo period. Hii inaweza kufanya mimba itunge.
Vuta subra kidogo.
 
Back
Top Bottom