The Donchop
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 294
- 378
Habari zenu wanajamii wenzangu?
Naomba kusaidiwa. Mimi ni mwanamke ambaye mzunguko wa hedhi ni siku 28. Mwezi uliopita period yangu ilikua tarehe 23 sep ambapo tarehe 29sep na 30 sep nilifanya sex.
Tatizo limekuja kua toka tarehe 11 Oct hadi muda huu ninapata dalili zote za kuingia period tena. Mfano maziwa kuuma na kujaa sana, ninapata chunusi usoni kama vile ninapokaribia period wakati ndio kwanza siku ya 13.
Nimejaribu kupima mimba kwa kutumia pregnancy test hapa nyumbani lakini vipimo vinaonyesha negative.
Napata mashaka labda nina tatizo fulani au kwa wataalamu tafadhali msaada kwa hali hii inayonitokea, ni mara ya kwanza kupata hali kama hii maishani mwangu.