The Donchop
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 294
- 378
- Thread starter
-
- #21
20 l normally go 3 daysUlianza tar ngapi
Habari zenu wanajamii wenzangu?
Naomba kusaidiwa. Mimi ni mwanamke ambaye mzunguko wa hedhi ni siku 28. Mwezi uliopita period yangu ilikua tarehe 23 sep ambapo tarehe 29sep na 30 sep nilifanya sex.
Tatizo limekuja kua toka tarehe 11 Oct hadi muda huu ninapata dalili zote za kuingia period tena. Mfano maziwa kuuma na kujaa sana, ninapata chunusi usoni kama vile ninapokaribia period wakati ndio kwanza siku ya 13.
Nimejaribu kupima mimba kwa kutumia pregnancy test hapa nyumbani lakini vipimo vinaonyesha negative.
Napata mashaka labda nina tatizo fulani au kwa wataalamu tafadhali msaada kwa hali hii inayonitokea, ni mara ya kwanza kupata hali kama hii maishani mwangu.
Mimba hyo, ulisex siku za htr... Mimba kipimo kusoma mpk 14 days or above hivyo upime kuanzia jumatatu tar 15/10 uje utupe mrejesho ila usitoeHapana
Anza kuandaa magauni mapana mkuu, ila hongera kwa kuupata utamuHabari zenu wanajamii wenzangu?
Naomba kusaidiwa. Mimi ni mwanamke ambaye mzunguko wa hedhi ni siku 28. Mwezi uliopita period yangu ilikua tarehe 23 sep ambapo tarehe 29sep na 30 sep nilifanya sex.
Tatizo limekuja kua toka tarehe 11 Oct hadi muda huu ninapata dalili zote za kuingia period tena. Mfano maziwa kuuma na kujaa sana, ninapata chunusi usoni kama vile ninapokaribia period wakati ndio kwanza siku ya 13.
Nimejaribu kupima mimba kwa kutumia pregnancy test hapa nyumbani lakini vipimo vinaonyesha negative.
Napata mashaka labda nina tatizo fulani au kwa wataalamu tafadhali msaada kwa hali hii inayonitokea, ni mara ya kwanza kupata hali kama hii maishani mwangu.
Kipimo kinaonyesha negative
zaa io hali itaisha.Hiyo ni mimba kiaziHapana
Mimba kiazi ikoje mkuu?zaa io hali itaisha.Hiyo ni mimba kiazi
Sawa mkuu, nitarudi tena ili wenzangu wajifunze pia.Hicho sio kipimo cha mimba ndogo hivyo, yamkini ulitumia UPT. nenda hosp ila usiache kuleta mrejesho
Ahsante kwa ushauri mkuu, nitaleta mrejesho nikienda hospital.Mimba hyo, ulisex siku za htr... Mimba kipimo kusoma mpk 14 days or above hivyo upime kuanzia jumatatu tar 15/10 uje utupe mrejesho ila usitoe
Ila ukitoa ujue na kizazi kinachomokaAhsante kwa ushauri mkuu, nitaleta mrejesho nikienda hospital.
ni mimba ambayo ukipima mapema haionyeshi,wakti mwingine inaweza ikatoka ukafikiri ni bleed kumbe ni miscariageMimba kiazi ikoje mkuu?
Ahsante mkuu, sijawahi kufikiria kuua kiumbe kwa dhambi zangu mwenyewe.Ila ukitoa ujue na kizazi kinachomoka
Ahsante mkuu kwa kunifunza kitu kipya.ni mimba ambayo ukipima mapema haionyeshi,wakti mwingine inaweza ikatoka ukafikiri ni bleed kumbe ni miscariage
Kwa hiyo inaweza ikawa na hormones tu but pia isiwe mimba si ndio?Hormones tu. Mimba bado haiwezi kuonekana sasa hivi hadi umiss next period au siku chache sana kabla ya next period.
Sipaswi kupata mzunguko kwa sasa lakini napata dalili zote kama maziwa kuvimba na kuuma ndio maana nimekuja kuuliza humu.Tuliza akili wenge ndio linakusumbua ndio mana unachelewa kuona hizo cku zako
Kwa hiyo inaweza ikawa na hormones tu but pia isiwe mimba si ndio?