Hizi ni dalili za maradhi yapi?

Hizi ni dalili za maradhi yapi?

Habari zenu wanajamii wenzangu?
Naomba kusaidiwa. Mimi ni mwanamke ambaye mzunguko wa hedhi ni siku 28. Mwezi uliopita period yangu ilikua tarehe 23 sep ambapo tarehe 29sep na 30 sep nilifanya sex.
Tatizo limekuja kua toka tarehe 11 Oct hadi muda huu ninapata dalili zote za kuingia period tena. Mfano maziwa kuuma na kujaa sana, ninapata chunusi usoni kama vile ninapokaribia period wakati ndio kwanza siku ya 13.
Nimejaribu kupima mimba kwa kutumia pregnancy test hapa nyumbani lakini vipimo vinaonyesha negative.
Napata mashaka labda nina tatizo fulani au kwa wataalamu tafadhali msaada kwa hali hii inayonitokea, ni mara ya kwanza kupata hali kama hii maishani mwangu.

Huo ni ujauzito…..ushanasa tayari, hauna ujanja tena. Mwanao muite "Si Kosa Langu,' 'Bahati Mbaya,'Tulaumiwe Sote.'
 
Habari zenu wanajamii wenzangu?
Naomba kusaidiwa. Mimi ni mwanamke ambaye mzunguko wa hedhi ni siku 28. Mwezi uliopita period yangu ilikua tarehe 23 sep ambapo tarehe 29sep na 30 sep nilifanya sex.
Tatizo limekuja kua toka tarehe 11 Oct hadi muda huu ninapata dalili zote za kuingia period tena. Mfano maziwa kuuma na kujaa sana, ninapata chunusi usoni kama vile ninapokaribia period wakati ndio kwanza siku ya 13.
Nimejaribu kupima mimba kwa kutumia pregnancy test hapa nyumbani lakini vipimo vinaonyesha negative.
Napata mashaka labda nina tatizo fulani au kwa wataalamu tafadhali msaada kwa hali hii inayonitokea, ni mara ya kwanza kupata hali kama hii maishani mwangu.
Anza kuandaa magauni mapana mkuu, ila hongera kwa kuupata utamu
 
Hormones tu. Mimba bado haiwezi kuonekana sasa hivi hadi umiss next period au siku chache sana kabla ya next period.
 
Kwa hio UPT huwez kubaini mimba until ifike 2week since ume conceive..kwaio subir ad ile siku ulokua unatarajia kuingia Tena if haijaja Apo ukipima majibu yatakuja fasta.
Kama Hana baba nambie Kuna mtu anashida na mtoto hata wa kubambikiwa mind you mtaandikiehiana kua yeye ndo baba na atakuhudumia fro. A2Z
 
Tuliza akili wenge ndio linakusumbua ndio mana unachelewa kuona hizo cku zako
 
Tuliza akili wenge ndio linakusumbua ndio mana unachelewa kuona hizo cku zako
Sipaswi kupata mzunguko kwa sasa lakini napata dalili zote kama maziwa kuvimba na kuuma ndio maana nimekuja kuuliza humu.
 
Kwa hiyo inaweza ikawa na hormones tu but pia isiwe mimba si ndio?

Exactly. Unahisi dalili zote za mimba ila hamna kitu. Subiri tarehe tu au close to tarehe ya mp inayofuata ndo upime hapo autapata accurate results
 
Back
Top Bottom