Hizi ni dalili za msanii akianza kuishiwa

Hizi ni dalili za msanii akianza kuishiwa

Full charge

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2018
Posts
1,678
Reaction score
1,617
1.Huanza kujikita kwenye dini.
2.Kujiweka karibu na washikaji.
3.Kupunguza kujidai (kujiona)
4.Kuongea vizuri na watu
5.Kutumia usafiri wa kawaida
6.Kuimba kama anaanza muziki
7.Kuwaponda wasanii wakubwa
8.Kujistukia,kujihisi.
9.Kuhisi anatengwa
10.Kusahau matusi ya nyuma.
11.Kuwa mwnye mawazo.
+zingine mnisaidie
 
Back
Top Bottom