Hizi ni dalili za mtoto wa kiume?

H

Ha! Ni wa kike na ameshaanza shule! Yaani mpaka nilisahau km nilileta hii thread

Asante kwa mrejesho.
si mchezo,kweli ni ya zamani ila nimejifunza hizo dalili kumbe sio lazima ziwe za jinsia fulani
 
Nenda Bagamoyo nasikia ni wapiga ramli wazuri nna imani watakusaidia.
 
ana mimba yako au anadai ana mimba yako mana uhakik ni mdogo unawez bondewa n dege miaka hii
 
Mazoea huzaa tabia.
Udhaifu wako hapo, ndipo atapopata upenyo wa kukutawala kifikra.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…