Hizi ni dalili za mtoto wa kiume?

Hizi ni dalili za mtoto wa kiume?

H

Ha! Ni wa kike na ameshaanza shule! Yaani mpaka nilisahau km nilileta hii thread

Asante kwa mrejesho.
si mchezo,kweli ni ya zamani ila nimejifunza hizo dalili kumbe sio lazima ziwe za jinsia fulani
 
ana mimba yako au anadai ana mimba yako mana uhakik ni mdogo unawez bondewa n dege miaka hii
 
Mazoea huzaa tabia.
Udhaifu wako hapo, ndipo atapopata upenyo wa kukutawala kifikra.
 
Back
Top Bottom