Habari wadau? Naomba msaada hapa: Nina tatizo kwamba sehemu ya kushoto ya kifua (sehemu ya moyo) Kuna wakati nahisi inakuwa nzito sana halafu wakati mwingine inakuwa kama inawaka moto hivi ( inachemka). Hii ni dalili ya nini? Na sometimes naweza kushutuka tu ghafla. Msaada tafadhali wandugu? Asanteni