Hizi ni dalili za nini?

Hizi ni dalili za nini?

Jodeo

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2015
Posts
1,286
Reaction score
1,328
Habari wadau? Naomba msaada hapa: Nina tatizo kwamba sehemu ya kushoto ya kifua (sehemu ya moyo) Kuna wakati nahisi inakuwa nzito sana halafu wakati mwingine inakuwa kama inawaka moto hivi ( inachemka). Hii ni dalili ya nini? Na sometimes naweza kushutuka tu ghafla. Msaada tafadhali wandugu? Asanteni
 
Nenda Hospital, acha kuchezea Afya yako hapa JF.
 
mpaka uonane na daktari umsimulie ndipo ajue ni tatizo gani
 
Back
Top Bottom