Hizi ni dalili za stress au HIV?

Kuanzia sasa nikipata tonsils ntakua nakonda😱😱😱
 
Story yako inafanana na yangu asee huu mwaka ulikuwa mbaya sana kwangu tangu January but ni jambo la kumshukuru Muumba kwa kunipa ujasiri wa kupambana na stress, stress zinaua husipoangalia
 
Pole ndg yang, Ngoja ntililike kidogo.
Aiseeeee ,kuna tatizo linaitwa HYPOCHONDRIACAL (Hypocondriasis) huu ni ugonjwa Wa akili ambao humpata MTU ,yan we unajihis unaumwa na unaonesha dalili zote za kuumwa lakin ukienda kwenye matibabu (hospital) unaambiwa huna ugonjwa , unaweza ukawa na dalili zote izo ulizozitaja ni kweli kabisa ulichoandika ila kiuhalisia ni kwamba huumwi ,hata ukipima tena hukut kitu ,
MOJA KAT YA SABABU ndo kama ulivosema kutembea na MTU ambae umehis ana maambukiz au kuskia kwa watu ,unapata tatizo ili ,.
TIBA:jarb kulzimisha Akili yako kuwa sio kwel ,epuka kukaa peke ako Mara kwa Mara ,jichanganye mda mwing na wengne kurefresh ,maana ukiwa alone gafla wazo huja, nk.
Nb. Muda huo umeshapima kuhakiki zaid za miez tofaut tofaut baad ya 3month
 
Kuanzia sasa nikipata tonsils ntakua nakonda😱😱😱

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...umenichekesha πŸ˜‚πŸ˜‚

ila hii post ya mleta mada sijui niseme imeniokoa au imeninyima utamu hata sijui

maana kuna mtu nimemzuia kuja nyumban usiku huu baada ya kusoma hapa.... nimemwambia "sory nimepata emergency ntakuchek kesho"
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚,,alisema ana tonsils
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚,,alisema ana tonsils

hajasema πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

ila tu hii post imenikata mood ya wiki nzima yani nimejikuta nataka kukaa alone nikifikiria upya mienendo yangu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
hajasema πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

ila tu hii post imenikata mood ya wiki nzima yani nimejikuta nataka kukaa alone nikifikiria upya mienendo yangu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ikipita mwezi tu ushasahau unaenda na kununuaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…