Hizi ni dalili za stress au HIV?

Hizi ni dalili za stress au HIV?

Kuanzia sasa nikipata tonsils ntakua nakonda😱😱😱
 
Mkuu ushauri wangu relax me nimekuwa Na shida kama yako muda mrefu nimekuwa nikienda Hosp sana tangu 2013 nilikuwa najihisi labda Nina HIV maana kila nikijaribu angalia njia zangu nikawa nakosa Amani kabisa ayo yote unayeleza nimepitia aseh ilifika point nikaenda Fanya operation ya tonsils lakini kipindi chote hiki sikuwahi pima HIV juzi nikasema liwalo Na liwe nikaenda pima hakuna sikuaminj nimepima sehemu nne tofauti hakuna na Sasa hivi najipima mwenyewe mara kwa mara hakuna kitu Ila nilichokuja gundua hayo mabadiliko yalianza bada ya kupata janga kubwa sana kwenye maisha yangu tangu apo afya yangu ikawa haieleweki kabisa ni kuumwa tu mara uchovu Yan balaaa Ila stress ni ugonjwa mbaya sana chunga mkuu mimi maada za humu ndo zilikuwa zinanifanya niziidi umwa aseh nilikuwa nikisoma mada humu ya ukimwi Na jinsi najisikia nasema kabisa hapa nimeumia la hasha nimejjitesa sana baada ya kupima nimekuwa Na Amani magonjwa sio tena sehemu ya mwili wangu
Story yako inafanana na yangu asee huu mwaka ulikuwa mbaya sana kwangu tangu January but ni jambo la kumshukuru Muumba kwa kunipa ujasiri wa kupambana na stress, stress zinaua husipoangalia
 
Pole ndg yang, Ngoja ntililike kidogo.
Aiseeeee ,kuna tatizo linaitwa HYPOCHONDRIACAL (Hypocondriasis) huu ni ugonjwa Wa akili ambao humpata MTU ,yan we unajihis unaumwa na unaonesha dalili zote za kuumwa lakin ukienda kwenye matibabu (hospital) unaambiwa huna ugonjwa , unaweza ukawa na dalili zote izo ulizozitaja ni kweli kabisa ulichoandika ila kiuhalisia ni kwamba huumwi ,hata ukipima tena hukut kitu ,
MOJA KAT YA SABABU ndo kama ulivosema kutembea na MTU ambae umehis ana maambukiz au kuskia kwa watu ,unapata tatizo ili ,.
TIBA:jarb kulzimisha Akili yako kuwa sio kwel ,epuka kukaa peke ako Mara kwa Mara ,jichanganye mda mwing na wengne kurefresh ,maana ukiwa alone gafla wazo huja, nk.
Nb. Muda huo umeshapima kuhakiki zaid za miez tofaut tofaut baad ya 3month
 
Kuanzia sasa nikipata tonsils ntakua nakonda😱😱😱

😂😂😂😂...umenichekesha 😂😂

ila hii post ya mleta mada sijui niseme imeniokoa au imeninyima utamu hata sijui

maana kuna mtu nimemzuia kuja nyumban usiku huu baada ya kusoma hapa.... nimemwambia "sory nimepata emergency ntakuchek kesho"
 
😂😂😂😂...umenichekesha 😂😂

ila hii post ya mleta mada sijui niseme imeniokoa au imeninyima utamu hata sijui

maana kuna mtu nimemzuia kuja nyumban usiku huu baada ya kusoma hapa.... nimemwambia "sory nimepata emergency ntakuchek kesho"
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂,,alisema ana tonsils
 
Back
Top Bottom