Mkuu hizo ni hatua za awali za HEART BURN itakayokupelekea kupata vidonda vya tumbo
hii usababishwa na wingi wa ACID tumboni au BACTRERIA wa H pylori
kupata presha au ugonjwa wa moyo si rahisi kama watu wanavyofikilia
Moyo ni kifaa strong sana kama hujazaliwa na hitirafu yoyote ya moyo au kupata ajari ukadamage moyo directy ni ngumu sana hasa kwa vijana kupatwa ugonjwa wa moyo
km utakuwa unazingatia chakura unachokura kuwa makini na life staili yako unavyoishi na kuzingatia kanuni za afya
na moja ya kanuni ya AFYA inayotumaliza vijana wengi ni kunywa dawa bila kujua ugonjwa halisi unaotusumbua wengi wetu tumekuwa wabahiri sana kupima vipimo tunapojihisi maradhi
Ila Moyo unaweza kushinda fanya kazi ipasavyo kutokana na maradhi fulani fulani
Mfn kama hvyo wadudu wa h pylori au wingi wa ACID tumboni nk
Kwa hiyo moyo kushindwa kufanya kazi inavyopaswa haimaanishi MOYO wako una hitirafu lah !
Bali usipotibu au kung'amua
(mana magonj'wa mengne hayahitaji hata kumeza dawa ni kubadili tu mfumo wa maisha hususani chakura tunachokura kila siku ni tiba tosha)
kinachosababisha MOYO kutofanya kazi ipasavyo basi hapo ndo unanunua matatizo ya moyo halisi
Kwanza Nenda upime H pylori na kiasi cha ACID tumboni
Lakini unaweza kuchukua hatua za awali acha kubeba vitu vizito badili mfumo wa chakura Punguza kura vyakura vyenye ACID kwa wingi hasa SODA achana nazo kabisa kama mnywaji pombe acha kabisa kuwa more relaxed(punguza mawazo) fanya mazoezi mepesi mepesi mara kwa mara
USIKUBARI MADAKTARI KUKUANDIKIA DAWA YOYOTE BILA KUPIMWA NA KUJUA KIPI KINAKUSUMBUA WATAKUTIA HASARA NA KUKUZIDISHIA MATATIZO ZAIDI
HUO UGONJWA UKIPAMBA MOTO UNAKUWA NA DARIRI ZOTE ZA MTU MWENYE UKIMWI au TB
Soma
Angalizo: Baadhi ya dalili za vidonda vya tumbo hufanana na dalili za magonjwa ya moyo - JamiiForums
Nimeambiwa sina vidonda vya tumbo, nina hpylori tu, iweje nisikie kiungulia(Heart burn) - JamiiForums