Raj kapool
JF-Expert Member
- Jun 29, 2018
- 1,352
- 2,160
Aiseee salaam kwanza popote mlipo natanguliza shukrani
Mi ni kijana 24 years sina historia yoyote ya kuugua uhonjwa mkubwa wowote ule tofauti na homa ndogo ndogo za mafua na kikohoo labda,, sasa kuna dalili naziona ningependa kujua hii itakua dalili ya ugonjwa gani
,, nikikaa nimetulia upande wa kushoto mwa kifua changu pale usawa wa moyo hua kama kuna kitu kinatembea hapaumi ila panakua kama panabana ivi na kuachia hii hufika hadi nyuma kwenye mgogo usawa uleule upamde ule ule
Hii hutokea nikiwa nimetulia au nimelala ila nikiwa na shughuli haitokei hata ikitokea hua kwa dakika 1 tu
Nikitulia huchukua hata dakika 5
Wajuzi mnijuze jamani