Hizi ni Dalili za ugonjwa wa uti wa mgongo:

Spinal Health

Member
Joined
Sep 19, 2023
Posts
12
Reaction score
10
Hizi ni dalili za ugonjwa wa uti wa mgongo:

1 Maumivu mkali ya mgongo
2 Maumivu makali sehemu ya kiuno (Nyongo)
3 Maumivu ya kichwa yasiyoacha
4 Maumivu ya shingo na mabega
5 Vichomi sehemu ya kiuno

Kama una dalili yoyote kati ya hizo, basi kuna uwezekano mkubwa kuwa una shida kwenye uti wa mgongo, tembelea tovuti zetu kwa msaada zaidi.
 

Attachments

  • e2881c41-75d7-4c4c-80df-186569944a3d.jpeg
    37.7 KB · Views: 8
Umeingia nini? Maana kuna dada mmoja kafa juzi KCMC wamesema ni ugonjwa huo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…