Hizi ni faida 10 za kuwa Single ongezea zako

-Unakuwa na uhuru wa kupiga mkunyeto muda wowote tena kwa kubandika mapicha ya mastaa wa kike ukutani unakuwa unapigia nyeto bila kuhofia kuuliza na mtu
 
Mi nipo singo kwasababu moja tu meseji za kuulizana umelalaje, umeamkaje, umekula?, umelala? Sizipendi kichizi yan
Ile ushi vipi? Jibu niko hospitali baba amelazwa, uraulizwa kwahiyo?, yaani baba yako kuumwa yeye haimhusu duuu

Hilo neno la kwahiyo? Silipendi kuliskia, yeye kumbe anawaza kukudownload tu!
 
Hii mbaya mkuu
 

You have made my day
 
Yaani pesa sina hata kuishi na mwanamke nishindwe hapana kwa kweli ,
ubaya wa ubachela pesa zinaishia kwenye pombe kwenda club kila weekend ,kutafuta malaya, betting, upweke uliokithiri, uchafu ,kula vyakula ya viwandani mkate maandazi na juisi, matatizo ya afya ya akili, kupiga punyeto kuliko kithiri, unywaji wa pombe kali konyagi visungura etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…