Hizi ni faida 10 za kuwa Single ongezea zako

Ukitaka kuenjoy ubachela kijana awe na kipato kizuri au kazi ya maana aishi sehemu nzuri awe na mfanyakazi wa kumfanyia kazi zote za nyumbani awe na pisi kali sio kununua dada poa wa 5000,
lakini hii unatoka kuenyeka job saa 4 usiku unarudi geto unakuta ni chafu hapana kwa kweli kufua unajifuli unaosha vyombo mwenyewe sio vizuri
 
Hapana mkuu...kikubwa ni kujicontroo
 
Uongo, ukiish na mwenzako hata matumizi yanapungua, una save sana yani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…