Hizi ni Faida vs Hasara za kukeketa mtoto wa kike

2019

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
3,130
Reaction score
4,735
Habari wana jamvi??

Kwa muda sana serikali inapiga kelele kuhusu ukeketaji lakini bado baadhi ya maeneo hawakomi, huenda kuna faida inayopatikana kutokana na kumkeketa mtoto.

Kwa wale wanaojua kiundani kila mmoja atafunga faida 1 na hasara ili tujue kuna haja ya kuachilia vitendo hivi viendelee?

Kwa upande wangu naanza na hasara

1. Kwa mjini mwanamke akigunduliwa amekeketwa hakuna kijana atakae muona(kapunguza utamu kutoa kisimi)
2. Kumwaga damu nyingi (huenda kifo kukatokea)
3. Mwanamke kushndwa kujiamini
4. Kuzaa kwa shida (sababu njia ina kovu) huenda akazaa kwa kisu
5. Kukosa hamu ya ngono(ambayo ni zawadi toka kwa Mungu)

Dalili ya kumjua mwanamke aliekeketwa.
1.Kamwe hawezi kukubali kufanya ngono taa ikiwaka
2.hawezi kukuruhusu ushike nyeti yake(sababu utagusa kovu lake)
3.kubana sana mapaja wakati wa tendo n.k

Faida nayojua mimi ni 1 tu, yaani mwanamke aliekeketwa anakua mtulivu kene ndoa.

Shusheni faida nyingine tuone bora nini?

Asanteni karibuni kwa mawazo yenu.
 
Unajua mambo mengine ni siasa tu.Inawezekana ni kweli kukeketwa sio sahihi .Lakini wapiga filimbi hiI hawajawahi kutoa Takwimu za kisayansi kuhusu athari zake! Mfano Kama Mkoa wa Manyara unaongoza kwa ukeketwa je ,kuna vifo vingi vya wanawake wakati wa kujifungua kuliko mikoa isiyokeketa?
Hii ni sawa na UKIMWI ! kuna taarifa kuwa Hepatis B inaua watu wengi kuliko UKIMWI!lakini kwa sababu hakuna mafungu ya fedha yaliyotengwa na mabeberuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜›πŸ˜› huwezi sikia kelele huku! wataendelea kubuni afua kwenye UKIMWI. Ndio WALIPOISHIWA wakaja na jando kwa wanaume! Sijui kitakachofuata nini kwa sababu mafungu ya UKIMWI bado yapo!
TUWE TUNATAFAKARI SANA KUEPUKA HIZI SIASA ;KWENYE MAGONJWA NA MATATIZO MENGINE YA KIJAMII...!
Hivi kwa mfano.. hivi ni kweli mimba za utotoni ni tatizo kubwa kihivyo,ilahali kisayansi mtoto anaweza kuzaa katika umri wa miaka 13! hata Sera za Tanzania zinatambua hivyo,ndio maana umri wa Uzazi katika Taarifa za Sensa unaanzia Miaka 13-49!
Ukitaka kujua kuwa mimba za utotoni na ukeketaji ni tatizo kubwa kwa kiasi gani nchini zuia bajeti yote toka nje katika eneo hili...iwe Serikali na kwa NGOsπŸ™‚πŸ™‚
 
Asante kwa uchambuzi mzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…