2019
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 3,130
- 4,735
Habari wana jamvi??
Kwa muda sana serikali inapiga kelele kuhusu ukeketaji lakini bado baadhi ya maeneo hawakomi, huenda kuna faida inayopatikana kutokana na kumkeketa mtoto.
Kwa wale wanaojua kiundani kila mmoja atafunga faida 1 na hasara ili tujue kuna haja ya kuachilia vitendo hivi viendelee?
Kwa upande wangu naanza na hasara
1. Kwa mjini mwanamke akigunduliwa amekeketwa hakuna kijana atakae muona(kapunguza utamu kutoa kisimi)
2. Kumwaga damu nyingi (huenda kifo kukatokea)
3. Mwanamke kushndwa kujiamini
4. Kuzaa kwa shida (sababu njia ina kovu) huenda akazaa kwa kisu
5. Kukosa hamu ya ngono(ambayo ni zawadi toka kwa Mungu)
Dalili ya kumjua mwanamke aliekeketwa.
1.Kamwe hawezi kukubali kufanya ngono taa ikiwaka
2.hawezi kukuruhusu ushike nyeti yake(sababu utagusa kovu lake)
3.kubana sana mapaja wakati wa tendo n.k
Faida nayojua mimi ni 1 tu, yaani mwanamke aliekeketwa anakua mtulivu kene ndoa.
Shusheni faida nyingine tuone bora nini?
Asanteni karibuni kwa mawazo yenu.