GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kuanzia sasa nitakuwa hata nikibeba Chips Waroho ( Wazee wa Kudoea ) hawatoona ndani
Kuanzia sasa hata nikiwa nabeba Bangi / Bange au Unga wa Kulevya ‘ Chawa ‘ hawatonigundua
Kuanzia sasa nikienda Kununua Maharage ya Kupima ‘ Wambea ‘ Mtaani hawatojua nimebeba nini
Kuanzia sasa nikiwa nimebeba Mtoto Kichanga naenda Kumtupa ‘ sitoshtukiwa ‘ na Mswahili yoyote
Kuanzia sasa Demu wangu akinituma Kumnunulia ‘ Pedi / Sodo ‘ Dukani wengi njiani hawatojua
Kuanzia sasa nikibeba Dagaa na Tembele zangu hakuna wa kujua na itabaki kuwa Siri yangu na Familia
Kuanzia sasa hata nikibeba Pistol ( Bastola ) yangu hakuna ‘ Mpuuzi ‘ yoyote atakayejua
Akhsanteni sana Mamlaka husika mliyoleta ‘ Mabadiliko ‘ haya makubwa na ya Kimaamuzi nchini Tanzania.
Nawasilisha.