Hizi ni fikra zangu!

Hizi ni fikra zangu!

Ely

Member
Joined
Jun 21, 2011
Posts
10
Reaction score
4
Sikuzote huwa najiaminisha kuwa Jambo au kitu chochote kimleteacho mtu furaha katika maisha ndicho kimleteacho pia uchungu! tujifunze katika mambo haya mawili:

1. Mtoto azaliwapo familia yote huwa yenye furaha, lakini furaha hiyo hutoweka pindi atowekapo katika hii dunia

2. Vipi kwa wapenzi waliopendana kwa dhati watenganapo? furaha yote hutoweka bila shaka!
 
etu hatujui ya kuwa kila tulichonacho ni mkopo tu........................na kama ilivyo mikopo yote marejesho huwa ni matanga.........
 
Sikuzote huwa najiaminisha kuwa Jambo au kitu chochote kimleteacho mtu furaha katika maisha ndicho kimleteacho pia uchungu! tujifunze katika mambo haya mawili:

1. Mtoto azaliwapo familia yote huwa yenye furaha, lakini furaha hiyo hutoweka pindi atowekapo katika hii dunia

2. Vipi kwa wapenzi waliopendana kwa dhati watenganapo? furaha yote hutoweka bila shaka!

Ndio maana tunaambiwa tumake the most of the happy moments we share, kwani huwezi jua lini wampoteza mpendwa wako. Muoneshe wakati uko naye kuwa wampenda, wamuhitaji, wamthamini ili in case 1. Anafariki, hautakuwa na guilty conscious kuwa sikumwambia kuwa nampenda, au sikumfanyia hiki 2. Mmeachana imtese yeye na aone kuwa kuna vitu anavikosa alivyokuwa anapata toka kwako.

Kuna story moja, yahusu mama aliyekuwa anaishi na kijana wake wa 13yrs, yule kijana alienda kwenye swimming competetion, akapata heart failure akafa. Mama mtu alilia na akikumbuka neno la mwisho alilomwambia mwanawe ni "akatupe taka jalalani". Alitamani hilo neno lingekuwa "nakupenda"

It is sad indeed!
 
Kaunga...............am gald you are back...................I have been missing your wisdom like this chit........
 
Nipo my dear; maisha tu na mizunguko yake. So how have you been? jana nilikuona ulideal zaidi na Nollywood scandal!
 
Sikuzote huwa najiaminisha kuwa Jambo au kitu chochote kimleteacho mtu furaha katika maisha ndicho kimleteacho pia uchungu!

Absolutely, kama mpenzi wako hakutii machungu bado hujampenda. Love hurts bana!
 
hapo kwenye bold, una maana mkiachana si ndio? maana kama mko pamoja hapaswi kukutia machungu; maana yake inapaswa kuwa raha tu kuwa naye!
 
naona hisia zimetamalaki zaidi kuliko uhalisia wa maisha yenyewe
 
Kaunga nimependa ujumbe wa kwenye post yako!Big up!
 
Sikuzote huwa najiaminisha kuwa Jambo au kitu chochote kimleteacho mtu furaha katika maisha ndicho kimleteacho pia uchungu! tujifunze katika mambo haya mawili:

1. Mtoto azaliwapo familia yote huwa yenye furaha, lakini furaha hiyo hutoweka pindi atowekapo katika hii dunia

2. Vipi kwa wapenzi waliopendana kwa dhati watenganapo? furaha yote hutoweka bila shaka!

Poa kwa kuwa na fikra nzuri
 
Je ?
Furaha ya kuparikana kipara (kisicho salama)
mwisho wa siku ni kula mipumba ya kuongeza siku!
Dadek'kuda!
 
Back
Top Bottom