STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,076
- 17,247
Huenda rapa Young Dee amerudiana na mpenzi
wake wa zamani Tunda. Kwani wawili hao kwa
sasa wapo karibu zaidi kiasi cha kushauriana
baadhi ya mambo. Hivi karibuni katika mitandao ya kijamii zilizagaa
taarifa ya kuwa wawili hao wamerudiana. Jumatatu hii kupitia istagram, Tunda ameandika: “Think Positive and Positive things will happen.
I am so proud of you, umeweza kubadilisha
maisha yako, umekuwa mfano mzuri wa
kuigwa! You’ve changed my life, i know bado
sijafikia 100% but i promise kufuatisha ushauri
wako and become a better me everyday. i Pray everyday Mungu azidi kukuongoza katika njia
salama… You’re so blessed!,”