NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
Kwangu mimi nimetupia jicho kwenye hizi mbili, nawe waweza kuongeza zingine...
1. Waandishi wa habari na watangazaji - Zamani hii kazi ilikuwa na heshima sana nadhani kwasababu wahusika wengi walikuwa na taaluma makhsusi na kupitia training, Kwa sasa kazi hii imevamiwa na vijana wengi ambao hata chuo hawajaenda, Vuta picha tu mtu kama baba levo nae ni mtangazaji !!
2. Walimu - Ni kundi ambalo mpaka sasa inakuwa ngumu sana kuona limeshuka tabaka, Zamani mwalimu alikuwa na heshima yake asiee, hasa huko vijijini huyu alikuwa ni mtu wa kukimbiliwa kuwa mtatuzi wa vingi lakini kwa sasa kazi hii imeshuka thamani hasa kwa hizi private schools zimeanzishwa mwalimu unakuta analipwa hata laki 2 kwake poa tu, walimu nao baadhi yao huhusika kwenye skendo chafu za kutembea na wanafunzi wao.