Hizi ni kona kali na milima, kwa barabara nchini, taja nyingine

Hapo namba 9 ni Magara sio Ugara,zile kona ni balaa,nimepita sana ile njia mpk nikazizoea.Ukipita na moto mkubwa kutokea Mbulu kuelekea Babati lazima ushikwe na kichefuchefu...
 
Hapo namba 9 ni Magara sio Ugara,zile kona ni balaa,nimepita sana ile njia mpk nikazizoea.Ukipita na moto mkubwa kutokea Mbulu kuelekea Babati lazima ushikwe na kichefuchefu...
Sijawahi fika kule juu ya mlima kbs sema Kuna siku nlitoka huku babati mjini nkaenda misele kule magugu mwada magara tukazama ndani ndani sana aisee nliishia sehemu pana migunga mingi kinoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…