Hizi ni LIVE SHOWS zangu bora za muda wote nisizochoka kuzitazama.

Hizi ni LIVE SHOWS zangu bora za muda wote nisizochoka kuzitazama.

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
21,387
Reaction score
44,030
Hiyo namba mbili kwa upande wangu ndio namba moja, vipi na ile live show ya Fally Ipupa aliofanyia Dar es salaam haipo kwenye show bora kwako?
 
Aiseee hawa wakongomani enzi zao zilikuwa ni hatari haswaaa shida ni kwamba hizi vita sijui zinawaharibu kwa sasa, vizazi hivi havipo tena miaka hii.

Mkongo mzuri kwenye kuimba ila usithubutu kwenda kwao.
 
Walizuiliwa kufanya shows ULAYA kwa zaidi ya miaka 10 ikawaathiri sana.
 
Wakongo wakiwa kwenye ubora wao walitutendea haki wapenda LIVE SHOWS. Hadi hadi wapiga gitaa na vyombo vingine wana mizuka ni laana.

1. Werrason and his group in Zenith, Paris 2002

View: https://youtu.be/28k9SBTbzrY?feature=shared

2. JB Mpiana and his group in Zenith, Paris 1999

View: https://youtu.be/HgvuTCNc_R0?feature=shared

3. Koffi Olomide and his group in Bercy, Paris 2000

View: https://youtu.be/Jus4sTnMXGs?si=4ebe29JYBuwfowto

Kuna ya extra musica walipiga ivory coast abdijan ni noma na nusu .
 
The barclaycard wireless festival (London wireless festival) 2012 performance ya Nicki Minaj.
 
Back
Top Bottom