Hizi ni mbinu muhimu za wanawake kuzingatia ili waepuke kurekodiwa kwa kisiri

Hizi ni mbinu muhimu za wanawake kuzingatia ili waepuke kurekodiwa kwa kisiri

loose Nut

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2025
Posts
2,887
Reaction score
6,657
Sasa hivi ukiingia mitandao ya ngono hasa XVideo unakutana na filamu za ngono zilizochukuliwa kisiri na hidden Camera.

Ni jana tu hapo jirani Kenya mrusi kaeneza video za wanawake aliokuwa akiwatongoza kisiri na kuleta aibu kwenye jamii.

Chukua tahadhari sasa hivi. Nunua kifaa kinacho detect hidden video cameras na microphone ukiwa gesti, choo cha umma, kwenye gari faraghani etc.

Hicho kifaa ni hiki hapa chini. Siyo gharama sana hadi elfu hamsini unapata

Screenshot_20260215_223227_Chrome.jpg


Kumbuka hidden camera na microphone ni vigumu kuzitambua kwa macho.

Zingine ziko kwenye charger, zingine kwenye jagi ama vyombo vya jikoni, microwave, TV, shelves za vitabu, dawa ya mbu, kopo la soda kama Coca-Cola na Pepsi, jiwe, bulb, saa ya ukutani, feni, tochi Biblia na Quran n.k.

Screenshot_20260215_223015_Chrome.jpg

Screenshot_20260215_222443_Chrome.jpg


Protect your privacy.
 
Back
Top Bottom