Hizi ni nasaha zangu kwa Pierre Liquid

Hizi ni nasaha zangu kwa Pierre Liquid

Pierre hajaforce umaarufu.. Umaarufu umemfata wenyewe..

Let the guy enjoy to the fullest.. Atabaki keleleniiii
Ni kweli ila tuache utani jamaa hachekeshi labda mie kitufe changu cha kucheka kina fault. Abaki kwenye kuhamasisha au Kama ni kuigiza isiwe comedy
 
Ni kweli ila tuache utani jamaa hachekeshi labda mie kitufe changu cha kucheka kina fault. Abaki kwenye kuhamasisha au Kama ni kuigiza isiwe comedy
Hahahahahaha hachekeshi ila anafurahisha.. Yani ile kumwangalia tu lazima ufurahi
 
Umaarufu wwte duniani huchuja.... hakuna umaarufu unaodumu milele.... Muhimu kesha acha alama watu wamemtambua
 
kweli kabisa nikimkumbuka mr. nice alivyopokelewa kishujaa rwanda na waziri wa michezo pale airport leo hii hata nauli ya daladala hana
 
Hii hadithi yako imenifurahisha hapo punda wa Yesu alipokuwa anatabasamu. Duh!
 
Mbona akiwa dalali hukumfuata kumpa nasaha namna ya kupata umaarufu? wabongo mnapenda sana kujifanya mnajua na kuelekeza wengine namna ya kuishi pindi wanapopata mafanikio
 
Brother sidhani kama umekosea sana kwa mawazo yako juu ya mtanzania mwenzetu ila naona umeweka maslahi ya utu wa mwingine mbele na sio kuwa hajakutana na watu wenye mawazo kama yako, ila kila binadamu ana yake kichwani kwenye maisha anayoishi pamoja na umbwaji wake na purpose katika ulimwengu huu, kama ndugu Peter hayaishi unayaona sahihi sana kwake basi kuna namna anaona tofauti kama unavyoshauri. Kikubwa ni kuwa kama hakujiandaa kwa umaarufu tena wa maslahi na kujinufaisha kwa utaratibu unaoelezea humu JF basi inaweza isitokee kabisa mpaka akawa hasikiki kama anavyovuma sasa na pia asiwe na tabu huko mbeleni juu ya majuto yoyote tena kwa umri alionao ni mtu mzima sana wa kuwa na hizo targets unazotaka awe.

God bless the man Pierre, he will remain high up to the peak until his last breath. PEACE
 
Back
Top Bottom