Brother sidhani kama umekosea sana kwa mawazo yako juu ya mtanzania mwenzetu ila naona umeweka maslahi ya utu wa mwingine mbele na sio kuwa hajakutana na watu wenye mawazo kama yako, ila kila binadamu ana yake kichwani kwenye maisha anayoishi pamoja na umbwaji wake na purpose katika ulimwengu huu, kama ndugu Peter hayaishi unayaona sahihi sana kwake basi kuna namna anaona tofauti kama unavyoshauri. Kikubwa ni kuwa kama hakujiandaa kwa umaarufu tena wa maslahi na kujinufaisha kwa utaratibu unaoelezea humu JF basi inaweza isitokee kabisa mpaka akawa hasikiki kama anavyovuma sasa na pia asiwe na tabu huko mbeleni juu ya majuto yoyote tena kwa umri alionao ni mtu mzima sana wa kuwa na hizo targets unazotaka awe.
God bless the man Pierre, he will remain high up to the peak until his last breath. PEACE