Hizi ni nchi ambazo hazina kesi za Corona Virus

Hizi ni nchi ambazo hazina kesi za Corona Virus

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
ComorosKiribatiLesothoMarshall IslandsMicronesia
NauruNorth KoreaPalauSamoaSolomon Islands
TajikistanTongaTurkmenistanTuvaluVanuatu

#CoronaVirus wametangazwa kuwa janga la dunia, lakini bado kuna baadhi ya nchi hazijaguswa na janga hilo

Kwa mujibu wa Chuo Kikuu cha John Hopkins zaidi ya watu milioni 3 wameathiriwa na virusi hivyo, huku vifo vikiwa ni zaidi ya 220,000, na wengine 980,000 wakiwa wamepona
 
Nyingi za nchi hizo umetaja ziko pasific na idadi ya Wakazi wao ni wachache na hawasafiri na hakuna wageni kutoka nje.

Nishawahi kufika Kiribati na Tuvalu hata kuleta nyuzi humu kwenye id zangu zilizopigwa ban na mods Copenhagen na jon Stefano
 
Nyingi za nchi hizo umetaja ziko pasic na idadi ya Wakazi wao ni wachache na hawasafiri na hakuna wageni kutoka nje.

Nishawahi kufika Kiribati na Tuvalu hata kuleta nyuzi humu kwenye id zangu zilizopigwa ban na mods Copenhagen na jon Stefano
Kha, na Jon Stephano nayo imepigwa ban? I hope siyo life ban.
 
Nyingi hawana vipimo
Watu wanakufa huko na hawajui wamekufaje
Kama Burundi Siku Za Mwanzo Za Corona Virus Diseases 19 Hawakuwa Na Mgonjwa
Kumbe Vipimo Hakuna Sasa Watu Wengi Sana Wana Umwa Ila Hawajui
 
Nyingi za nchi hizo umetaja ziko pasic
na idadi ya Wakazi wao ni wachache na
hawasafiri na hakuna wageni kutoka
nje.

Nishawahi kufika Kiribati na Tuvalu hata
kuleta nyuzi humu kwenye id zangu zilizopigwa ban na mods Copenhagen
na jon Stefano
Wewe Myebusi una tatizo gani na Mods!?? ...by the way hizo nchi za Oceania natamanigi sana na Mimi kwenda sema sijaexplore ni nchi ipi ya huko ukiachana na Australia and New Zealand inayoweza kufit lifestyle yangu?

Yaani kuwe na vyakula ninavyopenda,totoz kidogo niliwakilishe taifa,na kila kitu..najua kuna baadhi ya nchi huko zina utamaduni wa ajabu sana hasa zile wanazokaa weusi wenye asili ya Africa Mashariki kama Papua New Guinea,American Samoa n.k nasikia huko baadhi ya makabila yanakula nyama za watu,uchawi,matambiko kila siku sijapata kujua tamaduni za nchi nyingine za huko kama Tuvalu,Vanuatu, Federated states of Micronesia, Tahiti,Kiribati n.k...nataka nitafute nchi moja ya kutembelea huko
 
Nyingi za nchi hizo umetaja ziko pasic na idadi ya Wakazi wao ni wachache na hawasafiri na hakuna wageni kutoka nje.

Nishawahi kufika Kiribati na Tuvalu hata kuleta nyuzi humu kwenye id zangu zilizopigwa ban na mods Copenhagen na jon Stefano
Ulienda kula bata No...
utakuwa ulibebeshwa mizigo tu dogo na hao wamama wa kizungu....
 
Wewe Myebusi una tatizo gani na Mods!?? ...by the way hizo nchi za Oceania natamanigi sana na Mimi kwenda sema sijaexplore ni nchi ipi ya huko ukiachana na Australia and New Zealand inayoweza kufit lifestyle yangu? yaani kuwe na vyakula ninavyopenda,totoz kidogo niliwakilishe taifa,na kila kitu..najua kuna baadhi ya nchi huko zina utamaduni wa ajabu sana hasa zile wanazokaa weusi wenye asili ya Africa Mashariki kama Papua New Guinea,American Samoa n.k nasikia huko baadhi ya makabila yanakula nyama za watu,uchawi,matambiko kila siku sijapata kujua tamaduni za nchi nyingine za huko kama Tuvalu,Vanuatu, Federated states of Micronesia, Tahiti,Kiribati n.k...nataka nitafute nchi moja ya kutembelea huko
Mgerasi inakuwaje. Nyingi za hizo nchi zilitawaliwa na ufaransa na uingereza l. Kuna zingine ni French overseas territory na Britain over seas territory.

Mfano Tahiti ama French Polynesia ambapo kuna the best world paradise borabora ni French overseas territories na wenyeji wake ni Polynesian. Pia Newcaledonia.

Kuna Samoa mbili America samoa mji wake Mkuu pagopago na Samoa zamani ilikuwa ikujulikana western Samoa mji wake mkuu Apia wenyeji ni Polynesian. yule actor the rock ana trace roots zake huko Tonga nao ni Polynesians.

Kwa maelezo haya yote kuiondoa kwa kifupi tu kuna watoto wakaree
 
Nyingi za nchi hizo umetaja ziko pasic na idadi ya Wakazi wao ni wachache na hawasafiri na hakuna wageni kutoka nje.

Nishawahi kufika Kiribati na Tuvalu hata kuleta nyuzi humu kwenye id zangu zilizopigwa ban na mods Copenhagen na jon Stefano
Mkaldayo mbona unakula ban kila mara? Au mods wanaona gere unavyotembelea nchi mbali mbali.

Anyway, North Korea ni Hermit Kingdom hata kama kuna corona hakuna mtu wa nje atajua.
 
Wazee mnaijua hii namba hii 666, inatajwa sana kwenye mambo ya kishetani shetani em niwamegee kidogo kuhusu janga hili la CORONA... inasemekama kuna mwana mama mmoja wa huko mambele alisha tabiri kuhusu hili (kama ni kweli) BASI ipo hivi
C = 03
O = 15
R = 18
O = 15
N = 14
A = 01
6 66
TUMEONA hivo tuendelee na maombi na kukemea mpaka pale SHETANI huyu atakapo tuacha.
 
Hivi nchi ya Yugoslavia bado ipo? Au ilishafutwa kwenye uso wa Dunia? Au inatumia Nina lingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Yugoslavia ilishagawanyika. Sababu za kuwanyika nch ni ethnicity. The mighty Yugoslavia is longtime gone.

Nchi zilizokuwa former Yugoslavia ni Serbia, Montenegro, Bosnia Herzegovina, Macedonia (sasa hivi nothern Macedonia), Slovenia na Croatia.

Zote hizo zina lugha tofauti na different Ethnic group japo wako kwenye language group za slavs ambao zinashabiana na russians, Bulgarian, polish, Ukrainian, slovaks na Czechs.

Ila Serbia na Montenegro ni ndugu wa karibu sana kwa sababu wote ni Serbs.

Kuna mchakato sasa hivi wa kuwaingiza EU Serbia Bosnia na nothern Macedonia.

Macedonia walibadilisha jina nakuujiita nothern Macedonia kwasababu Ugiriki waliijia juu hilo jina Macedonia ni lao.

Kosovo pia ni former Yugoslavia japo wao ni ethnic Albanian nao wako kwenye mchakato wa kujumuishwa EU.

Nchi za former Yugoslavia zilizoingizwa EU tayari ni Slovania, Croatia na Montenegro.

Kuoongezea nyama kidogo fest lady wa Marekani mke wa Trump melania Trump ametoka Slovania alipozaliwa alikuwa Myugoslavia
 
Wazee mnaijua hii namba hii 666, inatajwa sana kwenye mambo ya kishetani shetani em niwamegee kidogo kuhusu janga hili la CORONA... inasemekama kuna mwana mama mmoja wa huko mambele alisha tabiri kuhusu hili (kama ni kweli) BASI ipo hivi
C = 03
O = 15
R = 18
O = 15
N = 14
A = 01
6 66
TUMEONA hivo tuendelee na maombi na kukemea mpaka pale SHETANI huyu atakapo tuacha.
Acha utaahira poyoyo kichwa panzi mataga wewe takataka uchafu
 
Mgerasi inakuwaje. Nyingi za hizo nchi
zilitawaliwa na ufaransa na uingereza l.
Kuna zingine ni French overseas
territory na Britain over seas territory.

Mfano Tahiti ama French Polynesia
ambapo kuna the best world paradise
borabora ni French overseas territories
na wenyeji wake ni Polynesian. Pia
Newcaledonia.

Kuna Samoa mbili America samoa mji
wake Mkuu pagopago na Samoa
zamani ilikuwa ikujulikana western
Samoa mji wake mkuu Apia wenyeji ni
Polynesian. yule actor the rock ana
trace roots zake huko Tonga nao ni
Polynesians.

Kwa maelezo haya yote kuiondoa kwa
kifupi tu kuna watoto wakaree
Nakubali sana mkardayo kwa haya maelezo IPO siku ntatembelea hizi nchi aisee napenda sana ile nature yaa maeneo hayo Mara nyingi nikiwa YouTube napenda kuangalia video zinazoonyesha adventure ya huko..nimepapenda zaidi Borabora ile landscape yake ya vimilima vidogo,coral reefs,crystal clear water( this is the place to bee aisee)

(yule actor the rock ana
trace roots zake huko Tonga)...hii ni kweli kabisa The rock,mwanamieleka Roman Reign,Yokozuna,marehemu Umaga..hawa ni ndugu wa ukoo mmoja kabisa na asili yao ni huko Tonga
 
Wewe Myebusi una tatizo gani na Mods!?? ...by the way hizo nchi za Oceania natamanigi sana na Mimi kwenda sema sijaexplore ni nchi ipi ya huko ukiachana na Australia and New Zealand inayoweza kufit lifestyle yangu? yaani kuwe na vyakula ninavyopenda,totoz kidogo niliwakilishe taifa,na kila kitu..najua kuna baadhi ya nchi huko zina utamaduni wa ajabu sana hasa zile wanazokaa weusi wenye asili ya Africa Mashariki kama Papua New Guinea,American Samoa n.k nasikia huko baadhi ya makabila yanakula nyama za watu,uchawi,matambiko kila siku sijapata kujua tamaduni za nchi nyingine za huko kama Tuvalu,Vanuatu, Federated states of Micronesia, Tahiti,Kiribati n.k...nataka nitafute nchi moja ya kutembelea huko
Baba Tuvalu unatembea saa 1 umemaliza yote, hata ndege kwenda huko zna siku maalum

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivyi North Korea nayo imo au hakuna tu mwenye ubavu wa kuripoti.
 
Back
Top Bottom