Hizi ni nchi ambazo hazina kesi za Corona Virus

Hizi ni nchi ambazo hazina kesi za Corona Virus

North korea
Utawala wao unawacost wananchi

Yani wapo kama wafungwa ivi
 
Nyingi za nchi hizo umetaja ziko pasic na idadi ya Wakazi wao ni wachache na hawasafiri na hakuna wageni kutoka nje.

Nishawahi kufika Kiribati na Tuvalu hata kuleta nyuzi humu kwenye id zangu zilizopigwa ban na mods Copenhagen na jon Stefano
Wew Mkaldayo tulia..
 
Wewe Myebusi una tatizo gani na Mods!?? ...by the way hizo nchi za Oceania natamanigi sana na Mimi kwenda sema sijaexplore ni nchi ipi ya huko ukiachana na Australia and New Zealand inayoweza kufit lifestyle yangu?

Yaani kuwe na vyakula ninavyopenda,totoz kidogo niliwakilishe taifa,na kila kitu..najua kuna baadhi ya nchi huko zina utamaduni wa ajabu sana hasa zile wanazokaa weusi wenye asili ya Africa Mashariki kama Papua New Guinea,American Samoa n.k nasikia huko baadhi ya makabila yanakula nyama za watu,uchawi,matambiko kila siku sijapata kujua tamaduni za nchi nyingine za huko kama Tuvalu,Vanuatu, Federated states of Micronesia, Tahiti,Kiribati n.k...nataka nitafute nchi moja ya kutembelea huko
Nenda Kiribbati au Tuvalu, utapenda nilikuwa huko miaka2 ilopita
 
Mgerasi inakuwaje. Nyingi za hizo nchi zilitawaliwa na ufaransa na uingereza l. Kuna zingine ni French overseas territory na Britain over seas territory.

Mfano Tahiti ama French Polynesia ambapo kuna the best world paradise borabora ni French overseas territories na wenyeji wake ni Polynesian. Pia Newcaledonia.

Kuna Samoa mbili America samoa mji wake Mkuu pagopago na Samoa zamani ilikuwa ikujulikana western Samoa mji wake mkuu Apia wenyeji ni Polynesian. yule actor the rock ana trace roots zake huko Tonga nao ni Polynesians.

Kwa maelezo haya yote kuiondoa kwa kifupi tu kuna watoto wakaree
Kwa nini unaongea maovu lakini kipindi hiki cha mfungo,nikuonye Mara ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyingi hawana vipimo
Watu wanakufa huko na hawajui wamekufaje
Vipomo wanavyo mkuu sema hawatangazi hivi unaweza kuamini kuwa Uganda hakuna mtu hata m1 aliyekufa kwa corona? Kumbuka ugonjwa huu Africa umekuja kwa kushitukiza, hakuna nchi ya Africa iliyokuwa prepared kwa ugonjwa huo. Hivyo uganda kuripoti vifo 0 nayo tumia akili kukubali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mod ndo Wana wivu wa kijinga hivyo?
Nyingi za nchi hizo umetaja ziko pasific na idadi ya Wakazi wao ni wachache na hawasafiri na hakuna wageni kutoka nje.

Nishawahi kufika Kiribati na Tuvalu hata kuleta nyuzi humu kwenye id zangu zilizopigwa ban na mods Copenhagen na jon Stefano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...NCHI IPO MBALI HUKOO KWENYE KISOGO UGONJWA UNAFIKAJE NA WATU KWENDA HUKO SIDHANI NI WACHACHE HATA WANAOTOKA SO LAZIMA NCHI ZA OCENEA ZIPONE
 
Back
Top Bottom