Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
| Comoros | Kiribati | Lesotho | Marshall Islands | Micronesia |
| Nauru | North Korea | Palau | Samoa | Solomon Islands |
| Tajikistan | Tonga | Turkmenistan | Tuvalu | Vanuatu |
Kha, na Jon Stephano nayo imepigwa ban? I hope siyo life ban.Nyingi za nchi hizo umetaja ziko pasic na idadi ya Wakazi wao ni wachache na hawasafiri na hakuna wageni kutoka nje.
Nishawahi kufika Kiribati na Tuvalu hata kuleta nyuzi humu kwenye id zangu zilizopigwa ban na mods Copenhagen na jon Stefano
Nyingi za nchi hizo umetaja ziko pasic na idadi ya Wakazi wao ni wachache na hawasafiri na hakuna wageni kutoka nje.
Nishawahi kufika Kiribati na Tuvalu hata kuleta nyuzi humu kwenye id zangu zilizopigwa ban na mods Copenhagen na jon Stefano
Jifunze kuandika bana nchi zote umeziunganisha kama sentesi moja ndo nini sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Burundi Siku Za Mwanzo Za Corona Virus Diseases 19 Hawakuwa Na MgonjwaNyingi hawana vipimo
Watu wanakufa huko na hawajui wamekufaje
Wewe Myebusi una tatizo gani na Mods!?? ...by the way hizo nchi za Oceania natamanigi sana na Mimi kwenda sema sijaexplore ni nchi ipi ya huko ukiachana na Australia and New Zealand inayoweza kufit lifestyle yangu?Nyingi za nchi hizo umetaja ziko pasic
na idadi ya Wakazi wao ni wachache na
hawasafiri na hakuna wageni kutoka
nje.
Nishawahi kufika Kiribati na Tuvalu hata
kuleta nyuzi humu kwenye id zangu zilizopigwa ban na mods Copenhagen
na jon Stefano
Ulienda kula bata No...Nyingi za nchi hizo umetaja ziko pasic na idadi ya Wakazi wao ni wachache na hawasafiri na hakuna wageni kutoka nje.
Nishawahi kufika Kiribati na Tuvalu hata kuleta nyuzi humu kwenye id zangu zilizopigwa ban na mods Copenhagen na jon Stefano
Mgerasi inakuwaje. Nyingi za hizo nchi zilitawaliwa na ufaransa na uingereza l. Kuna zingine ni French overseas territory na Britain over seas territory.Wewe Myebusi una tatizo gani na Mods!?? ...by the way hizo nchi za Oceania natamanigi sana na Mimi kwenda sema sijaexplore ni nchi ipi ya huko ukiachana na Australia and New Zealand inayoweza kufit lifestyle yangu? yaani kuwe na vyakula ninavyopenda,totoz kidogo niliwakilishe taifa,na kila kitu..najua kuna baadhi ya nchi huko zina utamaduni wa ajabu sana hasa zile wanazokaa weusi wenye asili ya Africa Mashariki kama Papua New Guinea,American Samoa n.k nasikia huko baadhi ya makabila yanakula nyama za watu,uchawi,matambiko kila siku sijapata kujua tamaduni za nchi nyingine za huko kama Tuvalu,Vanuatu, Federated states of Micronesia, Tahiti,Kiribati n.k...nataka nitafute nchi moja ya kutembelea huko
Mkaldayo mbona unakula ban kila mara? Au mods wanaona gere unavyotembelea nchi mbali mbali.Nyingi za nchi hizo umetaja ziko pasic na idadi ya Wakazi wao ni wachache na hawasafiri na hakuna wageni kutoka nje.
Nishawahi kufika Kiribati na Tuvalu hata kuleta nyuzi humu kwenye id zangu zilizopigwa ban na mods Copenhagen na jon Stefano
Mkuu Yugoslavia ilishagawanyika. Sababu za kuwanyika nch ni ethnicity. The mighty Yugoslavia is longtime gone.Hivi nchi ya Yugoslavia bado ipo? Au ilishafutwa kwenye uso wa Dunia? Au inatumia Nina lingine?
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha utaahira poyoyo kichwa panzi mataga wewe takataka uchafuWazee mnaijua hii namba hii 666, inatajwa sana kwenye mambo ya kishetani shetani em niwamegee kidogo kuhusu janga hili la CORONA... inasemekama kuna mwana mama mmoja wa huko mambele alisha tabiri kuhusu hili (kama ni kweli) BASI ipo hivi
C = 03
O = 15
R = 18
O = 15
N = 14
A = 01
6 66
TUMEONA hivo tuendelee na maombi na kukemea mpaka pale SHETANI huyu atakapo tuacha.
Nakubali sana mkardayo kwa haya maelezo IPO siku ntatembelea hizi nchi aisee napenda sana ile nature yaa maeneo hayo Mara nyingi nikiwa YouTube napenda kuangalia video zinazoonyesha adventure ya huko..nimepapenda zaidi Borabora ile landscape yake ya vimilima vidogo,coral reefs,crystal clear water( this is the place to bee aisee)Mgerasi inakuwaje. Nyingi za hizo nchi
zilitawaliwa na ufaransa na uingereza l.
Kuna zingine ni French overseas
territory na Britain over seas territory.
Mfano Tahiti ama French Polynesia
ambapo kuna the best world paradise
borabora ni French overseas territories
na wenyeji wake ni Polynesian. Pia
Newcaledonia.
Kuna Samoa mbili America samoa mji
wake Mkuu pagopago na Samoa
zamani ilikuwa ikujulikana western
Samoa mji wake mkuu Apia wenyeji ni
Polynesian. yule actor the rock ana
trace roots zake huko Tonga nao ni
Polynesians.
Kwa maelezo haya yote kuiondoa kwa
kifupi tu kuna watoto wakaree
Ahahaha!Acha utaahira poyoyo kichwa panzi mataga wewe takataka uchafu
Baba Tuvalu unatembea saa 1 umemaliza yote, hata ndege kwenda huko zna siku maalumWewe Myebusi una tatizo gani na Mods!?? ...by the way hizo nchi za Oceania natamanigi sana na Mimi kwenda sema sijaexplore ni nchi ipi ya huko ukiachana na Australia and New Zealand inayoweza kufit lifestyle yangu? yaani kuwe na vyakula ninavyopenda,totoz kidogo niliwakilishe taifa,na kila kitu..najua kuna baadhi ya nchi huko zina utamaduni wa ajabu sana hasa zile wanazokaa weusi wenye asili ya Africa Mashariki kama Papua New Guinea,American Samoa n.k nasikia huko baadhi ya makabila yanakula nyama za watu,uchawi,matambiko kila siku sijapata kujua tamaduni za nchi nyingine za huko kama Tuvalu,Vanuatu, Federated states of Micronesia, Tahiti,Kiribati n.k...nataka nitafute nchi moja ya kutembelea huko