Hizi ni nchi ambazo hazina kesi za Corona Virus

North korea
Utawala wao unawacost wananchi

Yani wapo kama wafungwa ivi
 
Nyingi za nchi hizo umetaja ziko pasic na idadi ya Wakazi wao ni wachache na hawasafiri na hakuna wageni kutoka nje.

Nishawahi kufika Kiribati na Tuvalu hata kuleta nyuzi humu kwenye id zangu zilizopigwa ban na mods Copenhagen na jon Stefano
Wew Mkaldayo tulia..
 
Nenda Kiribbati au Tuvalu, utapenda nilikuwa huko miaka2 ilopita
 
Kwa nini unaongea maovu lakini kipindi hiki cha mfungo,nikuonye Mara ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyingi hawana vipimo
Watu wanakufa huko na hawajui wamekufaje
Vipomo wanavyo mkuu sema hawatangazi hivi unaweza kuamini kuwa Uganda hakuna mtu hata m1 aliyekufa kwa corona? Kumbuka ugonjwa huu Africa umekuja kwa kushitukiza, hakuna nchi ya Africa iliyokuwa prepared kwa ugonjwa huo. Hivyo uganda kuripoti vifo 0 nayo tumia akili kukubali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mod ndo Wana wivu wa kijinga hivyo?
Nyingi za nchi hizo umetaja ziko pasific na idadi ya Wakazi wao ni wachache na hawasafiri na hakuna wageni kutoka nje.

Nishawahi kufika Kiribati na Tuvalu hata kuleta nyuzi humu kwenye id zangu zilizopigwa ban na mods Copenhagen na jon Stefano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...NCHI IPO MBALI HUKOO KWENYE KISOGO UGONJWA UNAFIKAJE NA WATU KWENDA HUKO SIDHANI NI WACHACHE HATA WANAOTOKA SO LAZIMA NCHI ZA OCENEA ZIPONE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…