Alex_CPA
Member
- Jul 3, 2025
- 25
- 25
Kuwekeza kwenye share na hati fungani it's risk lakini kuwekeza kwenye hisa ni risk zaidi na risk zipo katika aina hizi...
Sasa ni jinsi gani tunaweza punguza hizo risk? Hususa ni unsystematic risk
- Systematic risk hizi ni aina za risk ambazo ni unavoidable( haziepukiki) maranyingine huitwa market risk, huathiri soko zima, mfano wa hizo risk ni inflation, vita n.k
- Unsystematic risk, hizi ni risk ambazo zinaweza kuepukika na huathiri kampuni moja moja yaani haziathiri soko zima, mfn poor management ndani ya kampuni,ubadhilifu n.k.
Sasa ni jinsi gani tunaweza punguza hizo risk? Hususa ni unsystematic risk
- kwa kuwa na hisa zaidi ya kampuni moja (port folio) ili diversify risk kwa maana kwamba kampuni moja ikipata hasara utakuw benefits na kampuni nyingine. Hii inaitwa portfolio theory iliyogunduliwa na Harry markowitz(1952)
- Ili kupunguza systematic risk its better uka invest kwenye government bond, na bill b'coz serikali haiwezi kufiliska.
- Kuwekeza kwenye collective scheme kama Utt, na ETF.