Hizi ni nywele zangu lakini nataka ziwe katika style hii , nifanyeje?

Hizi ni nywele zangu lakini nataka ziwe katika style hii , nifanyeje?

Bushmamy

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2019
Posts
9,140
Reaction score
15,963
Nywele zangu ni natural na huwa Napenda kuosha saluni na kuzibodrai huko huko.
Kwa sasa najaribu kuchana aina hii ya style lakini inagoma sijui hawa walitumia nini kuziweka kama zilivyoonyeshwa hapa chini.
Screenshot_20210202-002419.png
bushmamy
 
Nywele zangu ni natural na huwa Napenda kuosha saluni na kuzibodrai huko huko.
Kwa sasa najaribu kuchana aina hii ya style lakini inagoma sijui hawa walitumia nini kuziweka kama zilinyolewa hapa chiniView attachment 1692060
Sasa umekichorachora kifua kimekukosea Nini? Muarusha mkubwa weee, ndio maana nakupenda hadi najiogopa, najiuliza hivi moyo wangu haujawa transferd kweli na aliens na kupandikizwa kwako?
 
Yan napenda zifunike pande zote za uso Yan upande wa kulia hadi chini ya masikio na upande wa kushoto hadi hadi chini ya masikio kama hiyo avatar hapo juu.
Na. Kama ipo dawa ya kukuza aina hii ya nywele chap naombeni kujuzwa
 
Hiyo avatar sio mimi mkuu, picha yangu ni hiyo ya kwanza hapo juu nimeiziba uso haonekani
Hata mimi namzungumzia huyo kwenye picha ya kwanza mkuu, nimejiridhisha una midomo niipendayo
 
Nunua dryer ya mkono yenye kichanio unakuwa ukiosha unakausha na dryer bila kuchana Kama saluni zikishakauka ndo unachana na hiyo chanuo ya umeme kwa wiki mara moja unafanya hivyo Ili zisitepete na kuwa weak, alafu nunua electric hair brush hiyo ndo uwe unachania Kila siku kwenye upande wa upepo na siku nyingine unaichania ikiwa haina umeme.
 
Hongera Sana
Awamu Hii Tutasikia Mpaka Haya Nywele
Mimi Naona Endelea Zitarefuka Mpaka Unapotaka
 
Back
Top Bottom