Hizi ni nywele zangu lakini nataka ziwe katika style hii , nifanyeje?

Hizi ni nywele zangu lakini nataka ziwe katika style hii , nifanyeje?

As
Nunua dryer ya mkono yenye kichanio unakuwa ukiosha unakausha na dryer bila kuchana Kama saluni zikishakauka ndo unachana na hiyo chanuo ya umeme kwa wiki mara moja unafanya hivyo Ili zisitepete na kuwa weak, alafu nunua electric hair brush hiyo ndo uwe unachania Kila siku kwenye upande wa upepo na siku nyingine unaichania ikiwa haina umeme.
Asante kwa ushauri wako, ila hilo chanuo la umeme silijui naweza kuona picha yake?
 
Sasa umekichorachora kifua kimekukosea Nini? Muarusha mkubwa weee, ndio maana nakupenda hadi najiogopa, najiuliza hivi moyo wangu haujawa transferd kweli na aliens na kupandikizwa kwako?
Bu
Nywele zangu ni natural na huwa Napenda kuosha saluni na kuzibodrai huko huko.
Kwa sasa najaribu kuchana aina hii ya style lakini inagoma sijui hawa walitumia nini kuziweka kama zilivyoonyeshwa hapa chini. View attachment 1692060bushmamy
Bujibuji unakumbuka Kuna uzi wako humu unajitambulisha wewe ni demu?
 
Natumia mafuta ya gnice kwakweli nimepata matokeoa chanya so far..hata msusi Wangu anasifia Sana nywele yangu...
IMG_20210104_181737.jpg
 
Hayo mafuta unapaka kwenye ngozi au nywele? Yanapatikana wap Dia wangu na bei zake ni aje?
Kwenye Ngozi na nywele...pia unatakiwa uwe na shampoo na steaming...

Yaaani Mimi Sikuwai KUTUNZA nywele..ila.kwanzia nimeaanza Kutumia hizo products matokeo nimeyapenda sana..na nywele yangu Ni natural

Hako.kachupa...ni elfu na mbili kama.sijasahau kwa Dom...Sijui Dar...number yao yao ya Simu...0712 973 407

Sina ubia wowote na hiyo biashara nimependa TU.product zao za nywele
 
Haaaa,pamoja na kuchorachora nishakujua,kumbe ndio weweeee,dadadadek
 
Back
Top Bottom