Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Sina chuki na mtu maana hata mke wangu anatokea kwao, ni huwezi ongelea upuuzi nchi yangu alafu nikukalie kimya
Umeona sasa!
Nishajua tatizo lako linalokusumbua!
Nchi ni mipaka ya vipande vya ardhi walivyojikatia wanadamu kama wewe na mimi!
Usikae uue au ujenge chuki na mwanadamu mwenzio sababu eti kuna mwanasiasa kakwambia!
Wewe sio robot uwe programmed na mwanasiasa kadiri anavyotaka yeye!
Una utashi wa kujua baya na zuri,kwanini usitumie IQ yako kufanya judgements positive na sio kupigwa ufunguo na mipaka waliyokuwekea wanasiasa?
Kama kuna Mkenya au Mganda au yeyote yule katoa jambo la uongo kuhusu wewe kwanini usimsahihishe kwa kutoa hoja ya kweli na tawimu za kweli?
Yanini kutukana na kujenga chuki?
Kama wameongea ukweli kwanini usiseme ebwana hapo umesema kweli na tuta improve kwa kufanya hivi na vile?
Ni maajabu tu kukataa ukweli wa jirani yako anaokuambia eti kwa sababu tu humpendi yeye binafsi kwa jinsi alivyo!
Wewe kumchukia yeye as a person hakutoi ukweli wa anachozungumza kukuhusu wewe....unapokataa kata kata inaonesha you are not sincere na dishonest!
We have long way to go,na ni lazima to catch up with these guys,soon than later!
Thats the bottom line!
Ruka ruka,andamana,piga ua,cheka lia,kimbia kaa,etc.....ni lazima tuwapite,tena kwa haraka!