Hizi ni rekodi za soka ambazo ni ngumu kuzivunja na huenda huzijui.
01 ◉ Edson Arantes jina la utani, Pele [emoji1054] ndiye binadamu anayeshikilia rekodi ya kufunga magoli mengi zaidi Duniani (1,281) including na magoli ya mechi za kirafiki.
02 ◉ Sergio Ramos anashikilia rekodi ya kuoneshwa kadi nyingi zaidi za njano (26) ndani ya mechi (38).
03 ◉ Kwenye top six EPL, Tottenham ndio klabu ambayo haijatwaa ubingwa wa ligi kuu kwa muda mrefu zaidi. Wana miaka (59) bila kutwaa kombe la ligi kuu.
04 ◉ Lionel Messi [emoji1033] ndiye binadamu pekee aliyefunga magoli mengi zaidi (91) ndani ya calendar ya mwaka mmoja.
» Messi pia ndiye binadamu pekee aliyetwaa tuzo nyingi zaidi za Ballon D'Or (7).
» Rais wa Liberia [emoji1148], George Weah anashikilia rekodi ya kuwa mwafrika pekee aliyetwaa tuzo ya Ballon D'Or.
05 ◉ Robert Lewandowski [emoji1200] anashikilia rekodi ya kufunga magoli mengi (5) katika mechi moja ndani ya dakika chache (9').
06 ◉ Jesse Lingard anashikilia rekodi ya forward aliyecheza mechi nyingi (25) bila kupiga shuti lolote golini.
07◉ Eric Bailly [emoji1081] ndiye mchezaji pekee UEFA Champions league aliyepiga shuti mpira ukatoka nje ya stadium katika karne ya (21) ›› Man United vs Valencia.
08 ◉ Klabu ya Liverpool [emoji1022] inashikilia rekodi ya Dunia ya kukusanya points nyingi (97) kwenye msimu mmoja wa ligi yenye timu (20) bila kutwaa Ubingwa wa ligi kuu (18/19).
09 ◉ Sadio Mane [emoji1211] anashikilia rekodi ya kufunga hat-trick ya mapema zaidi (Dakika 2') akiwa Southampton [emoji1022].
10 ◉ Real Madrid ni klabu pekee kwenye historia iliyotwaa Ubingwa wa UEFA champions league mara (3) mfululizo [emoji471][emoji471][emoji471]
11 ◉ Hary Kane amefunga magoli (155) bila kutwaa kombe lolote [emoji848]
12 ◉ Aaron Svesve anashikilia rekodi ya kucheza dakika 90' bila kugusa mpira !!
13 ◉ Egypt [emoji1093] ambao ni mabingwa mara (7) wa Africa hawajawahi kushinda mechi yoyote kwenye kombe la Dunia !!
14 ◉ Suleyman Mamam wa timu ya taifa ya Togo [emoji1244] alicheza soka dhidi ya Zambia [emoji1268] 2001 akiwa na umri wa miaka 13 na siku (310).
15 ◉ Golikipa Tom King kutoka Wales [emoji1022] anashikilia rekodi ya kufunga goli kwa umbali mrefu zaidi. 21 January 2021 aliifungia goli klabu yake ya Newport county akiwa kwenye (6), umbali wa (96.01) meters.
16 ◉ Cristiano Ronaldo anashikilia rekodi ya kufunga magoli mengi zaidi ya kichwa Duniani (145).
17 ◉ Cristiano Ronaldo anashikilia rekodi ya kufunga magoli mengi zaidi UEFA champions league (140) anashikilia pia rekodi ya kufunga magoli mengi zaidi kwenye timu za taifa Duniani (123).
18 ◉ Pele [emoji1054] alikuwa binadamu pekee aliyetwaa mara tatu kombe la Dunia. Rekodi hiyo inaishi mpaka sasa
19 ◉ Arsenal wanashikilia rekodi ya kutwaa Ubingwa wa EPL UNBEATEN, pia wanashikilia rekodi ya kucheza mechi nyingi za ligi kuu (49) UNBEATEN- EPL [emoji1022].
Arsenal pia wanashikilia rekodi ya timu za England zilizocheza mechi nyingi zaidi UEFA champions league but hawajawahi kutwaa Ubingwa.
20 ◉ Golikipa, Lev Yashin anashikilia rekodi ya kuokoa penati nyingi zaidi Duniani (140).
𝙏𝙊𝙈 𝘾𝙍𝙐𝙕