Hizi ni sababu nzito za kwanini Askofu Gwajima anatakiwa kufukuzwa na kufutwa uanachama wa CCM haraka sana

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Ndugu zangu Watanzania,

Kitendo alichokifanya Askofu Gwajima ni kitendo ambacho kilimuumiza ,kumkwaza,kumsononesha na kumchukiza kila mwana CCM. Ni kitendo ambacho kiliacha na kimeacha hasira ,chuki na maumivu makubwa sana katika vifua vya wana CCM wote ndani na nje ya mipaka ya Tanzania.

Wana CCM tumeumizwa na kuchukizwa na maneno na kauli za Askofu Gwajima kwa sababu amefanya Udhalilishaji , kumdhalilisha na kumtweza Rais na Mwenyekiti wetu wa CCM Taifa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ambaye ndio nembo yetu. Amefanya kumchafua Mwenyekiti na Rais wetu kwa maneno yenye kujaa chuki binafsi na ubaguzi usio na msingi na yasio na ushahidi wa aina yoyote ile.

Askofu Gwajima alidhamilia kutaka kumshushia heshima na kumshambulia Rais wetu ili kumchafua mbele ya watanzania na kumjengea taswira mbaya kwa jamii. Kwa unafiki na Uzushi alidhamilia pia kumchonganisha Rais wetu na umma wa watanzania na pengine kuleta na kujenga chuki na kutaka kujaribu kuondoa Imani ya watanzania kwa Rais wetu.

Sasa kwanini Mtu huyu anatakiwa afukuzwe haraka ndani ya CCM? Inapaswa afukuzwe ili kulinda heshima ya mwenyekiti wetu na chama chetu .kwa sababu kanuni na katiba yetu ipo wazi kabisa .lakini pia haiwezekani mtu na mwanachama atoke hadharani mbele ya vyombo vya habari kumshambulia, kumdhalilisha na kumtisha Rais na Mwenyekiti wetu bila sababu za msingi halafu mtu huyo aachwe na kuendelea kudunda tu ndani ya chama chetu.

Jambo hilo litajenga picha mbaya na kuwa mfano mbaya sana kwa wanachama wote wa kizazi cha sasa na vizazi vijavyo. Haiwezekani mwanachama kama Gwajima amtishe Rais wetu halafu afumbiwe macho. Nafikiri hapa mnaweza kukumbuka kauli yake aliyosema kuwa ikiwa hata sikilizwa ushauri wake.

Lakini pia hawezi akaachwa hivi hivi mtu ambaye alitoa maneno,kauli na matamshi ya kumchonganisha Rais na Mwenyekiti wetu na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kwa kuonekana anateua watu wa kulinda maslahi yake ,jambo ambalo ni la uzushi ,uongo na ambalo halijawahi kufanyika hata siku moja.

Lakini pia ni lazima mtu huyu afukuzwe chamani ili kila mwanachama wa CCM afahamu ya kuwa hakuna aliye juu ya chama wala aliye mkubwa kwa CCM. Lakini pia kila mwana CCM ni lazima afahamu kuwa CCM ni Taasisi yenye misingi yake na yenye kuendeshwa kwa mujibu wa kanuni,sheria , miongozo na katiba yake.

Kuachwa bila kufukuzwa au kuchukuliwa hatua za kinidhamu itafanya wengine wafanye makosa kama hayo siku zijazo kwa Kuona ni kawaida au kwa kusema mbona fulani alifanya hivi na hakuchukuliwa hatua yoyote ile wala kuwajibishwa wala kukemewa. Kwa hiyo ni lazima chama kichole mstari ambao mwanachama akiuona auheshimu na kujua kuwa ikiwa atauvuka kwa Mihemuko au kutumwa au kutumika basi ni lazima atakutana na adhabu kali na yenye kutoa funzo kwa wengine.

Lakini ni lazima CCM iwe chama kiongozi katika maadili na uadilifu. Ni lazima CCM ionyeshe na kuongoza njia . CCM haipaswi kufumbia macho Mambo ambayo hata upinzani ukabakia unashangaa. Ni lazima ufanye Mambo na maamuzi ambayo hata mwanachama mpya akitaka kuingia na kujiunga na CCM afahamu miiko na maadili yetu wana CCM na ajifunze kutoka kwetu na siyo kuwa kama mabeberu au Kambare.

Asipochukuliwa hatua kali sana itafanya wengine kujiibukia zao huko au kutumwa na kutumiwa na watu au mtu kujiamkia zake hajanawa hata uso au kupiga mswaki halafu anaanza kumtukana au kumdhalilisha au kutunga uongo na uzushi dhidi ya Rais wetu. Ni lazima tuzibe mianya hiyo haraka sana na kuonyesha njia na mstari kwa kumchukulia hatua kali sana askofu Gwajima. Ili iwe fundisho kwa wengine na kujua kuwa hakuna aliye juu ya chama wala aliye mkubwa kuliko chama chetu.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Mmeshindwa kujibu hoja za Gwajima.

Watu wanatekwa, wanapigwa, mpaka wanauliwa chini ya watumishi wa serikali mnayoiongoza halafu watu wakihoji kulikoni, mnafura na kuanza kuwashambulia wao badala ya kuzungumzia walichokisema.

The whole party, from top to bottom is full of blithering idiots.
 
Mnajifanya kuuwa upinzani wakati mnafuga nyoka ndani

Mwaka huu mtasema yote na vile uwa mnaiba chaguzi

Subiri bunge livunjwe ndio utaelewa CCM imejifia mwaka huu!!

Huyu mama naapa hatokaa awe Rais wa Tanzania 2025-2030!!
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kitendo alichokifanya Askofu Gwajima ni kitendo ambacho kilimuumiza ,kumkwaza,kumsononesha na kumchukiza kila mwana CCM. Ni kitendo ambacho kiliacha na kimeacha hasira ,chuki na maumivu makubwa sana katika vifua vya wana CCM wote ndani na nje ya mipaka ya Tanzania.

Wana CCM tumeumizwa na kuchukizwa na maneno na kauli za Askofu Gwajima kwa sababu amefanya Udhalilishaji , kumdhalilisha na kumtweza Rais na Mwenyekiti wetu wa CCM Taifa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ambaye ndio nembo yetu. Amefanya kumchafua Mwenyekiti na Rais wetu kwa maneno yenye kujaa chuki binafsi na ubaguzi usio na msingi na yasio na ushahidi wa aina yoyote ile.

Askofu Gwajima alidhamilia kutaka kumshushia heshima na kumshambulia Rais wetu ili kumchafua mbele ya watanzania na kumjengea taswira mbaya kwa jamii. Kwa unafiki na Uzushi alidhamilia pia kumchonganisha Rais wetu na umma wa watanzania na pengine kuleta na kujenga chuki na kutaka kujaribu kuondoa Imani ya watanzania kwa Rais wetu.

Sasa kwanini Mtu huyu anatakiwa afukuzwe haraka ndani ya CCM? Inapaswa afukuzwe ili kulinda heshima ya mwenyekiti wetu na chama chetu .kwa sababu kanuni na katiba yetu ipo wazi kabisa .lakini pia haiwezekani mtu na mwanachama atoke hadharani mbele ya vyombo vya habari kumshambulia, kumdhalilisha na kumtisha Rais na Mwenyekiti wetu halafu mtu huyo aachwe na kuendelea kudunda tu ndani ya chama chetu.

Jambo hilo litajenga picha mbaya na kuwa mfano mbaya sana kwa wanachama wote wa kizazi cha sasa na vizazi vijavyo. Haiwezekani mwanachama kama Gwajima amtishe Rais wetu halafu afumbiwe macho. Nafikiri hapa mnaweza kukumbuka kauli yake aliyosema kuwa ikiwa hata sikilizwa ushauri wake.

Lakini pia hawezi akaachwa hivi hivi mtu ambaye alitoa maneno,kauli na matamshi ya kumchonganisha Rais na Mwenyekiti wetu na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kwa kuonekana anateua watu wa kulinda maslahi yake ,jambo ambalo ni la uzushi ,uongo na ambalo halijawahi kufanyika hata siku moja.

Lakini pia ni lazima mtu huyu afukuzwe chamani ili kila mwanachama wa CCM afahamu ya kuwa hakuna aliye juu ya chama wala aliye mkubwa kwa CCM. Lakini pia kila mwana CCM ni lazima afahamu kuwa CCM ni Taasisi yenye misingi yake na yeye kuendeshwa kwa mujibu wa kanuni,sheria , miongozo na katiba yake.

Kuachwa bila kufukuzwa au kuchukuliwa hatua za kinidhamu itafanya wengine wafanye makosa kama hayo siku zijazo kwa Kuona ni kawaida au kwa kusema mbona fulani alifanya hivi na hakuchukuliwa hatua yoyote ile wala kuwajibishwa wala kukemewa. Kwa hiyo ni lazima chama kuchore mstari ambao mwanachama akiuona auheshimu na kujua kuwa ikiwa atauvuka kwa Mihemuko au kutumwa au kutumika basi ni lazima atakutana na adhabu kali naye kutoa funzo kwa wengine.

Lakini ni lazima CCM iwe chama kiongozi katika maadili na uadilifu. Ni lazima CCM ionyeshe na kuongoza njia . CCM haipaswi kufumbia macho Mambo ambayo hata upinzani ukabakia unashangaa. Ni lazima ufanye Mambo na maamuzi ambayo hata mwanachama mpya akitaka kuingia na kujiunga na CCM afahamu miiko na maadili yetu wana CCM na ajifunze kutoka kwetu na siyo kuwa kama mabeberu au Kambare.

Alipochukuliwa hatua kali sana itafanya wengine kujiibukia zao huko au kutumwa na kutumiwa na watu au mtu kujiamkia zake hajanawa hata uso au kupiga mswaki halafu anaanza kumtukana au kumdhalilisha au kutunga uongo na uzushi dhidi ya Rais wetu. Ni lazima tuzibe mianya hiyo haraka sana na kuonyesha njia na mstari.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hoja haipigwi rungs hujibiwa.
Jibuni hoja ya GWAJIMA
ACHA KULETA UCHAWA MCHAFU
 
Mmeshindwa kujibu hoja za Gwajima.

Watu wanatekwa, wanapigwa, mpaka wanauliwa chini ya watumishi wa serikali mnayoiongoza halafu watu wakihoji kulikoni, mnafura na kuanza kuwashambulia wao badala ya kuzungumzia walichokisema.

The whole party, from top to bottom is full of blithering idiots.
Hizi nyumbu hazina hoja , huyo kiazi alitukimbia clubhouse
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kitendo alichokifanya Askofu Gwajima ni kitendo ambacho kilimuumiza ,kumkwaza,kumsononesha na kumchukiza kila mwana CCM. Ni kitendo ambacho kiliacha na kimeacha hasira ,chuki na maumivu makubwa sana katika vifua vya wana CCM wote ndani na nje ya mipaka ya Tanzania.

Wana CCM tumeumizwa na kuchukizwa na maneno na kauli za Askofu Gwajima kwa sababu amefanya Udhalilishaji , kumdhalilisha na kumtweza Rais na Mwenyekiti wetu wa CCM Taifa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ambaye ndio nembo yetu. Amefanya kumchafua Mwenyekiti na Rais wetu kwa maneno yenye kujaa chuki binafsi na ubaguzi usio na msingi na yasio na ushahidi wa aina yoyote ile.

Askofu Gwajima alidhamilia kutaka kumshushia heshima na kumshambulia Rais wetu ili kumchafua mbele ya watanzania na kumjengea taswira mbaya kwa jamii. Kwa unafiki na Uzushi alidhamilia pia kumchonganisha Rais wetu na umma wa watanzania na pengine kuleta na kujenga chuki na kutaka kujaribu kuondoa Imani ya watanzania kwa Rais wetu.

Sasa kwanini Mtu huyu anatakiwa afukuzwe haraka ndani ya CCM? Inapaswa afukuzwe ili kulinda heshima ya mwenyekiti wetu na chama chetu .kwa sababu kanuni na katiba yetu ipo wazi kabisa .lakini pia haiwezekani mtu na mwanachama atoke hadharani mbele ya vyombo vya habari kumshambulia, kumdhalilisha na kumtisha Rais na Mwenyekiti wetu halafu mtu huyo aachwe na kuendelea kudunda tu ndani ya chama chetu.

Jambo hilo litajenga picha mbaya na kuwa mfano mbaya sana kwa wanachama wote wa kizazi cha sasa na vizazi vijavyo. Haiwezekani mwanachama kama Gwajima amtishe Rais wetu halafu afumbiwe macho. Nafikiri hapa mnaweza kukumbuka kauli yake aliyosema kuwa ikiwa hata sikilizwa ushauri wake.

Lakini pia hawezi akaachwa hivi hivi mtu ambaye alitoa maneno,kauli na matamshi ya kumchonganisha Rais na Mwenyekiti wetu na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kwa kuonekana anateua watu wa kulinda maslahi yake ,jambo ambalo ni la uzushi ,uongo na ambalo halijawahi kufanyika hata siku moja.

Lakini pia ni lazima mtu huyu afukuzwe chamani ili kila mwanachama wa CCM afahamu ya kuwa hakuna aliye juu ya chama wala aliye mkubwa kwa CCM. Lakini pia kila mwana CCM ni lazima afahamu kuwa CCM ni Taasisi yenye misingi yake na yeye kuendeshwa kwa mujibu wa kanuni,sheria , miongozo na katiba yake.

Kuachwa bila kufukuzwa au kuchukuliwa hatua za kinidhamu itafanya wengine wafanye makosa kama hayo siku zijazo kwa Kuona ni kawaida au kwa kusema mbona fulani alifanya hivi na hakuchukuliwa hatua yoyote ile wala kuwajibishwa wala kukemewa. Kwa hiyo ni lazima chama kuchore mstari ambao mwanachama akiuona auheshimu na kujua kuwa ikiwa atauvuka kwa Mihemuko au kutumwa au kutumika basi ni lazima atakutana na adhabu kali naye kutoa funzo kwa wengine.

Lakini ni lazima CCM iwe chama kiongozi katika maadili na uadilifu. Ni lazima CCM ionyeshe na kuongoza njia . CCM haipaswi kufumbia macho Mambo ambayo hata upinzani ukabakia unashangaa. Ni lazima ufanye Mambo na maamuzi ambayo hata mwanachama mpya akitaka kuingia na kujiunga na CCM afahamu miiko na maadili yetu wana CCM na ajifunze kutoka kwetu na siyo kuwa kama mabeberu au Kambare.

Alipochukuliwa hatua kali sana itafanya wengine kujiibukia zao huko au kutumwa na kutumiwa na watu au mtu kujiamkia zake hajanawa hata uso au kupiga mswaki halafu anaanza kumtukana au kumdhalilisha au kutunga uongo na uzushi dhidi ya Rais wetu. Ni lazima tuzibe mianya hiyo haraka sana na kuonyesha njia na mstari.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mtume Muhammad (S.A.W) amesema:

"Shikamaneni na ukweli, kwani ukweli huongoza kwenye wema, na wema huongoza Peponi. Na mtu huendelea kusema ukweli hadi huandikwa kwa Mwenyezi Mungu kuwa ni mkweli."
(Sahih al-Bukhari na Muslim)
 
Nawashauri ndugu zako waanze kukufuta wewe,uanachama,na waachwe wanachama kama Gwajiboy ambaye anakibeba chama chenu.Iwapo kama chamani kwako wapo japo waliosalia na kaakili japo kidogo.
 
Kwanini wanachelewa? Siyo kumfukuza tu ni kum-paralize economically, atapike vyote alivyochuma kupitia CCM, lile kanisa la kufufua misukule ifutiliwe mbali
 
Mungu atakufuta wewe kabla ya October. Shetani kabisa. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
 
Endeleeni kuua tu damu za watu zimewanogea
 
Gwajima ni mwanaCCM Mwenzenu mjumbe wa kamati kuu ya chama cha Mapinduzi,hoja huwa haipigwi rungu inajibiwa, je hofu ya kujibu inatoka wapi,Sasa Rasmi imejulikana muasisi wa Utekaji,utesaji na uuaji na upotezaji watu ni Raisi mwenyewe,kumruhusu kuendelea kutuongoza ni kuendelea kuua watanzania kwa miaka mitano mingine,sasa kazi kwetu kama hatujatosheka na vifo tumpe mitano tena atuuwe kwa idadi kubwa zaidi.NO REFORMS NO ELECTION.
 
gwajima ndiye mwana ccm anayeelewaeka kwa urahi'si qwa sasa kwa watanzania wwapenda haki. mnyonge mnyongeni h
 
Back
Top Bottom