Matusi , kejeli, dharau kwa watu wenye ulemavu wa ngozi, we we ni mmoja wa watanzania wenye matusi kejeli na dharau kwa walemavu wa ngozi, kama una hasira sana na riziki yake anayopata nenda kamuue basi tujue moja.Hakuna taasisi yenye weredi inayoweza kufanya kazi na uyo Albino!! Ujinga, na uswahili umemjaa Sana!! Nashangaa watu wanaosema ana ushawishi!! Sijui ushawishi gani?!! Simbasc ndio imempatia maisha, kabla ya kuja Simbasc alikuwa ana nini?!! Aishukuru Simbasc imempatia maisha ila hana weredi wowote ule!!
Kwa mwenye kiwango kizuri cha elimu wala hapat shida. Ni kawaida tu. Ikiwa hakuna kipengele cha kimkataba ktk kaz yake kinachomzuia. Manara mtu km watu wengineKumekua na mgongano mkubwa kwenye club ya Simba juu ya nafasi ya Manara katika club. Mara kadhaa boss wa timu Mo aliihitaji kumfukuza lakini wazee kina Hanspope walimtuliza boss kwamba wampe muda kwani ni mtu muhimu kwenye fan base ya club na hakuna wa kuweza kuziba pengo lake hapa nchini. Msukumo juu ya kufukuzwa kwake umekua mkubwa siku hadi siku na hizi ni baadhi ya sababu zinazoweza kuotesha nyasi kibarua chake muda wowote:
Mgongano wa kimaslahi kati ya Metl na Bakheresa: Ni wazi Mo anachukia sana kwa Hajj kuwa balozi wa Azam akitangaza bidhaa ambazo 99% zinazolishwa pia na Metl. Kama ni mfuatiliaji wa mitandao ya kijamii utakua umeona comments za Mo kwenye Post za matangazo za Manara.
Mgongano wa Kimaslahi kati ya club na Azam tv: Wakati club ikihitaji watu waende uwanjani kujaza uwanja balozi Haji anatangaza namna gani unaweza ku enjoy football ukiwa nyumbani kupitia Azam tv huku ukiwa na ukwaju wa Azam pembeni kwenye sofa.
Ushawishi mkubwa wa Manara kwa mashabiki na wachezaji kuliko mabosi wa Club : Ni wazi kwamba Manara ana ushawishi mkubwa kuliko mtu yoyote pale Simba katika maswala mbalimbali, mfano usajili wa Bernard Morrison 90% umechagizwa na Manara ingawa bodi ilijua tatizo la utovu wa nidhamu wa mghana huyo.
Ushauri: Club imalize swala hili kwa kutumia busara kuliko mihemko.
Hakuna taasisi yenye weredi inayoweza kufanya kazi na uyo Albino!! Ujinga, na uswahili umemjaa Sana!! Nashangaa watu wanaosema ana ushawishi!! Sijui ushawishi gani?!! Simbasc ndio imempatia maisha, kabla ya kuja Simbasc alikuwa ana nini?!! Aishukuru Simbasc imempatia maisha ila hana weredi wowote ule!!
Sasa ualbino umeingiaje? Punguza chuki mjomba Mungu anakuona ujueHakuna taasisi yenye weredi inayoweza kufanya kazi na uyo Albino!! Ujinga, na uswahili umemjaa Sana!! Nashangaa watu wanaosema ana ushawishi!! Sijui ushawishi gani?!! Simbasc ndio imempatia maisha, kabla ya kuja Simbasc alikuwa ana nini?!! Aishukuru Simbasc imempatia maisha ila hana weredi wowote ule!!
MO nae si ampe dili za matangazo za bidhaa zake..
Kama jamaa yetu Mondi anasahau koffi ndo anambeba pale. WaahKuna ka ushamba flani watanzania tunako, haka ka kuhisi kuwa na follower wengi instagram basi una nguvu sana. Ni ushamba ambao utatuletea matatizo makubwa sana siku chache zijazo.
Ni kweli kabisa.Watanzania bana!! Emu acheni kukuza mambo ya uongo uongo, comments zipi hizo alizotoa Dewji kwa manara? Upo ndani ya club wewe hadi ujue mgongano wa kimaslahi? Alokwambia mpira ni uadui ni nani huyo?
Ukiwa msemaji wa club huezi fanya kazi nyingine zaidi ya hizo? Mwanaume unapofurahia mwenzio kufukuzwa kazi huo ni uchawi pia!! Sometime tujifunze kwa waliotuzidi uwezo ili tufanikiwe, tuache umbea umbea
Mkuu uliona mbaliSijui kwnn mimi hua namuona kama mtu wa hovyo na opportunist labda mimi ndio nna matatizo!
Haya sasa kaanza kunyooshaWanaomponda Manara wengi ni Yeboyebo Fc, Miamala FC, Vyura FC, Manyani FC, Utopolo FC!
Mnavyomponda ndo anaendelea kupiga mihela tu!
Ngoja awanyooshe mpaka mkome!
Tuliyasema haya zamani tu tukaonekana tuna fitna.. Ukweli ni kwamba Manara hawezi kufanya kazi na mtu yeyote mwenye akili timamuMkuu uliona mbali
Tatizo lenu mnahisi kila atakamdis uyo manara ni yanga tu.Utoporo buana sasa nyie wenye wasemaji wenye weeledi wa hali ya juu mmefanya kipi chamaana ndani ya nchi hii?
Watz ni watu wajinga na wenye wivu,na hizi coment zinazo tolewa dhadi ya Manara zina dhibitisha hilo.
Na propaganda dhidi ya manara zimekuwa ziki enezwa na mashabiki wa Utoporo,manyani,mavyura FC, uta dhani litimu lao lilisha fanya jambo lolote la maana zaidi ya kuendekeza uswahili huohuo wanao msemea manara.
Huo uswahili mnao usema ndio umemfanya manara kupata dili za matangazo ambazo zinamuingizia kipato. Utoporo acheni wivu wa kike na Manara bado yupo sana ahendi popote na ataendelea kuwapa sindano mpaka mkome nyie honga honga fc.
Hata mimi hujiuliza hivi simba ingekua haifanyi vizuri nani angeipenda no matter hata manara angehamasisha vipi.Hakuna taasisi yenye weredi inayoweza kufanya kazi na uyo Albino!! Ujinga, na uswahili umemjaa Sana!! Nashangaa watu wanaosema ana ushawishi!! Sijui ushawishi gani?!! Simbasc ndio imempatia maisha, kabla ya kuja Simbasc alikuwa ana nini?!! Aishukuru Simbasc imempatia maisha ila hana weredi wowote ule!!
mo ni mjanja mjanja,Sasa kakutana na mtoto wa mjini haswa.MO nae si ampe dili za matangazo za bidhaa zake..
Huwezi puuza nguvu ya social media in this century,Kuna ka ushamba flani watanzania tunako, haka ka kuhisi kuwa na follower wengi instagram basi una nguvu sana. Ni ushamba ambao utatuletea matatizo makubwa sana siku chache zijazo.
Jinga kweli, yani we unaamini manara ndo ameifikisha simba ilipofika.Sasa ww utoporo inawa husu nn?
Au nyie wenye wenye wasemaji wasio kuwa na uswahili timu yenu imefika wapi? utoporo.