Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo sahihi kifo kipo palepale ila tunapaswa Kuzingatia ulaji mzuri kwa afya na kwa kiasi ili kuboresha afya zetu na kutojiweka hatari na magonjwa ambayo yanaweza kuepukika...Mnapoteza muda tu siku yako ikifika wafwaa...unywe maji au chumvi ndogo na sukari ndogo
Yah hata mimi kuna kipindi nilikua napenda chumvi sana ila nikaja kupunguza matumizi yake...Hapo kwenye chumvi asee, nahisi kiwango cha chumvi nachopendelea ni kikubwa maana sehemu nyingi lazma niongeze kwenye chakula. Pia insemekana wanasema chumvi haikupikwa katika chakula ina athari zaidi
Yanaogopesha na ni mengi hata hupaswi kuyazingatia sana... ndio maana wanasema tuishi tu mkuu.Kuna muda haya mambo yanaogopesha
Ukisikiliza kila ushauri unaweza changanyikiwa..Yanaogopesha na ni mengi hata hupaswi kuyazingatia sana... ndio maana wanasema tuishi tu mkuu.