Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,057
- 10,367
Wewe mahaba yako kwa CCM yamekufanya chizi.
Ni vile nakuheshimu tu kwa kuwa u ndugu yangu katika imani ila kuna kitu kibaya sana nilitaka kukuambia.
Bahati yako nzuri....
Huu ni uchizi sasa.Ni ukweli ulio dhahiri kuwa diamond hamfikii kabisa Ali Kiba kwenye suala la muziki ila anamzidi mafanikio.
Huo ndio ukweli hutaki acha tu.
Sii unaelewa maana ya neno "Kiziwi"? Ni mtu asiyesikia, hivyo hata kuelewa mpaka apatikane mtaalam wa lugha za alama ndio ataelewa. Na bahati mbaya tunao wachache sana nchi hii hivyo binti kiziwi atachelewa sana kuelewa.
Ha ha ha funguka tu bibie. Hapa KAZI tu
Sasa unadhani sijui kama wameliblock?
We kweli mtupu.
Matusi ni silaha duni sana kwa mwanaume anayejiamini.
Mimi pia ninayo sitaki kufanana na wewe.Unatia aibu.
Ndio tunasubiri jembe liingie ikulu keshokutwa.lazima tumfunge huyu mwizi we subiri utaona.di umemsikia Jana jembe akihutubia. Hapa kazi tu.
Mgao wa umeme, huduma mbaya za afya, barabara zilizojengwa chini ya kiwango, ubadhirifu wa fedha za umma, kusafirishwa kwa wanyama pori, elimu duni yenye ukosefu za nyenzo, watumishi wa umma wasio kuwa na maadili wala uwajibikaji, ukiritimba rushwa, mpasuko na mfumuko wa bei katika bidhaa muhimu...
Yote hiyoo taasisi ya lowassa.Ukosefu wa mikopo elimu ya juu, janga la ukosefu wa ajira, kukubuhu kwa udalali katika kila sekta....
Huyu huyu Lowassa....
UKAWA MBELE
Sipo tayari kuona CCM wanashika hatamu kwa mara nyingine.Sitakiii
yani nimecheka sana daaa hongera Kiba BTW nifah alisema atatoa tamko naaam nimeliona
Mmeanza kujkitukana wenyewe kwa kuchukua oil chafu na kuifanya safi
Ni bora niende kilabuni kusikiliza kelele za walevi kuliko kusikiliza uongo.
Jembe kwake shamba, Ikulu Lowassa ndio raisi.
Lowassa na wahamiaji wenzake ni wajasiriamali wa kisiasa. Niliipenda sana chadema lakini mafisadi wameipenda zaidi.
Sasa kama alishikiwa akili kwa kutimiza hata kama hakifai! Kakabidhiwa ilani pale! Ataenda kinyume nayo?
Wallah alikutaja.Pia Diva Beyonce, Ms.Lincoln, pwilo Matola mimi nifah Abou Saydou n.k
Ujue kwanini? Tulimbana ataje mashabiki wake wa huku kama anasomaga kweli...
Uwiiiiii! Alitutaja bila hata kusita.
Lowassa hawezi kuwa rais wa Tanzania hii hizo ni ndoto za mchana unaota.
Wewe umeisoma ilani ya ccm?
Kiba ana account humu ndani nifah unalijua hilo???..
Kwa hiki kipindi tumeacha ma hero wanalinda na kuhakikisha mipango inaenda sawa. pwilo na Shardcole na wengine weengi wanapambana na kundi kubwa la maadui wa kiba wapo wawili ila kama mia vile....na wwngine tukiwa tunahakikisha mambo ya ukawa yanaenda sawa.
Hawa jf hamna wanachokijua zaidi ya kiba kweli ni makada. Bigg up kwao.