Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Tukutane October.
Woow.
Nimefurahi.
Ili nife kabisa!
Kuendelea kuwaona wapo naugua!
Kiba ana account humu ndani nifah unalijua hilo???..
Kwa hiki kipindi tumeacha ma hero wanalinda na kuhakikisha mipango inaenda sawa. pwilo na Shardcole na wengine weengi wanapambana na kundi kubwa la maadui wa kiba wapo wawili ila kama mia vile....na wwngine tukiwa tunahakikisha mambo ya ukawa yanaenda sawa.
Hawa jf hamna wanachokijua zaidi ya kiba kweli ni makada. Bigg up kwao.
Ha ha ha
Nimeipenda hii.
Mhhhh! Mumy mbona tulimuuliza akakataa kuwa hana account huku ila huwa anapita tu kusoma kama guest visitor?
Ngoja nitafanya mpango na Abou Saydou tumpate tena.
Walikuja kuangalia wasanii wewe acha upumbavu! !
Mmesomba watu na malori mnaita kujaza na kuwapa hela juu! You people are so hopeless!
Rejea mafuriko ya ukawa kama utaona gar linamwaga watu uwanjani! ?
Magufuli hawezi kuwa rais wa nchi hii ni ndoto za mchana unaota kama yeye jana jioni saa 12 anasema ni mchana kweupeeee!
Anayo account na hichi kitu nilishamwambia Ms.Lincoln siku moja.. ila ujue nini hawezi ku kusema user name yake... maana patakuwa na personal attack.
Usikute hata ni lukelo sakafu hahagagahahahaaaaaa....
Hilo nalo neno mumy.
Hahahaaaaa, hawezi kuwa huyo bwana.
Hahahaaaa au ndio wew nini nifah tujuzanee.
Ulimwangalia vizuri abou? Sio kiba kweli..?
Magufuli Hana kashfa wala si Fisadi.Lowassa katuibia mpaka akafukuzwa uwaziri mkuu Leo tumchaguwe haiwezekani aisee. Na tutaunda Mahakama maalumu lazima tumpeleke gerezani.
Magufuli Hana kashfa wala si Fisadi.Lowassa katuibia mpaka akafukuzwa uwaziri mkuu Leo tumchaguwe haiwezekani aisee. Na tutaunda Mahakama maalumu lazima tumpeleke gerezani.
Tena aliota sana!
You can imagine jana ndo anashangaa dent wa chuo kuokosa mkopo?
Eti wakulime hawatakosa mbegu tena? Swali ni je Kwanini walikuwa wanakosa? Na kwa nini hawatakosa?
Hahahaaaaa, mimi ni mdada bwana.
Sio Abou Saydou, huyu dogo tunajuana vizuri tu.
Maana mwanzoni nilikua nahisi Abou ni Abdu Kiba ila wala siye.