Unajua nyinyi ukawa ni wafa maji tuuuu. Mnajaeobu kushika hapa na pale ili muokoke lakoni wapi. Jahazi lenu lishazama na mhombea wenu pia keshajua kuwa jahazi.linazama na hivi karibuni atajitoa kwenye kinyang'anyiro kwa kuogopa aibu itakayomkuta. Subirini mtaona muda si mrefu.
My dear, CCM ndio walewale wala hatuna haja ya kuwashangaa kwa lolote.
Jamani Africa nzima na dunia kiujumla watatushangaa kama tutawachagua CCM tena.
My dear, CCM ndio walewale wala hatuna haja ya kuwashangaa kwa lolote.
Jamani Africa nzima na dunia kiujumla watatushangaa kama tutawachagua CCM tena.
Hahahaaaa nawazingua tuu mamy..
Abou nampataa kinomaaa...hahahaaa asije nivamia tuu...na ni dogo kwelii..
Ila mimi sijasema wew ndio umesema nifah.
Nasema tena. Kwamba muichague amausiichague kura zenu hazina athari. Ushindi kwa CCM ni lazima.
Hatujali dunia itashangaa kiasi gani. Mtake au msitake Rais wa awamu ya tano ni JOHN POMBE MAGIFULIIIIIIIII.
........
Oil chafu ni dawa ya wadudu...
Wadudu wahahribifu, wadudu wachokozi.
Nasema tena. Kwamba muichague amausiichague kura zenu hazina athari. Ushindi kwa CCM ni lazima.
Hatujali dunia itashangaa kiasi gani. Mtake au msitake Rais wa awamu ya tano ni JOHN POMBE MAGIFULIIIIIIIII.
........
lowassa all the way, mapema tu mida kama saa tano-tano tayari kashachukua nchi VIVA LOWASSA, VIVA KIBA
nifah, we kumpongeza kiba si ajabu na mimi mapenzi yangu kwa DIAMOND hayafi kisa anashabikia ccm na mi ni UKAWA. Na hao wote wanaomponda DIAMOND ndio wale wakila siku wanaomponda hawajawahi kumsifia wala kumpongeza na hapa wameongezewa 7bu 2.
Umevurugwa wewe..
Hii tabia ya kuleta vipande vya habari kutoka Gazeti la Tanzania daima haitawasaidia. Umesoma habari yote inaeleza nini? Pumbavu
Mkuu samsun natambua mapenzi yako kwa diamond kama vile wewe unavyotambua yangu kwa Ali Kiba.
Uzi wangu huu sikuwa na lengo la kuwashawishi watu wasiwe na mapenzi na diamond bali kumpongeza Ali Kiba.
Nadhani umenielewa vyema.
Endeleeni kujitoa ufahamu mkija kushtuka mchezo kwisha!
toa hoja, kama ni kashfa hata mimi naziweza