Hizi ni Salamu za pongezi kwa Ali Kiba

Hizi ni Salamu za pongezi kwa Ali Kiba

Unajua nyinyi ukawa ni wafa maji tuuuu. Mnajaeobu kushika hapa na pale ili muokoke lakoni wapi. Jahazi lenu lishazama na mhombea wenu pia keshajua kuwa jahazi.linazama na hivi karibuni atajitoa kwenye kinyang'anyiro kwa kuogopa aibu itakayomkuta. Subirini mtaona muda si mrefu.

Hahahaaaaa! Rudi darasani wewe kilaza unatia aibu.
No wonder unaishabikia CCM!
 
My dear, CCM ndio walewale wala hatuna haja ya kuwashangaa kwa lolote.
Jamani Africa nzima na dunia kiujumla watatushangaa kama tutawachagua CCM tena.

Nasema tena. Kwamba muichague amausiichague kura zenu hazina athari. Ushindi kwa CCM ni lazima.
Hatujali dunia itashangaa kiasi gani. Mtake au msitake Rais wa awamu ya tano ni JOHN POMBE MAGIFULIIIIIIIII.
........
 
Hahahaaaa nawazingua tuu mamy..
Abou nampataa kinomaaa...hahahaaa asije nivamia tuu...na ni dogo kwelii..
Ila mimi sijasema wew ndio umesema nifah.

Hilo tamko la Shaka Ssali nimelipenda sana.
Watu wasomi na wenye vision hawawezi kusita kumuamini Lowassa, ana huruma, roho nzuri na mnyenyekevu.

Akaaah! Usiniuzie kesi mimi namuitaga dogo na yeye ananiita dada.
Umeshasema unampata kinoma....
 
Last edited by a moderator:
Nasema tena. Kwamba muichague amausiichague kura zenu hazina athari. Ushindi kwa CCM ni lazima.
Hatujali dunia itashangaa kiasi gani. Mtake au msitake Rais wa awamu ya tano ni JOHN POMBE MAGIFULIIIIIIIII.
........

'Mtake msitake?'
Tushasema hatutakiiii
 
Nasema tena. Kwamba muichague amausiichague kura zenu hazina athari. Ushindi kwa CCM ni lazima.
Hatujali dunia itashangaa kiasi gani. Mtake au msitake Rais wa awamu ya tano ni JOHN POMBE MAGIFULIIIIIIIII.
........

Inafahamika na iko wazi kuwa hata huyo makufuli ni idara imemuweka! I mean ni picha tu!

Na ndo maana walipoona kwa maslahi yao hakuna anaye wafaa walimfuata Ben ili arudi akagoma we have the info!
Sasa swali ni Kwanini hawako tayar kusikiliza nguvu ya umma? (Wanaogopa kuumbuliwa kwa madudu yao yote)

Na tunajua mkwere anajua chama kinafia mikononi mwake na akawaagiza wamwokoe na kikombe hiv bora kikamfie yeyote!

Sasa umma utamuonesha kuwa chama kakiuua yeye na nchi kuiua yeye! Na aibu hii ataibeba yeye!

Makombora tutarusha kutoka huku huku tulitoa maoni yetu akatuona wapumbavu na malofa na wamedhihirisha jana!

Tukutane 25 October!
Wanapangua idara kupunguza makali ya kuanguka Tunawaangalia tu! !
 
lowassa all the way, mapema tu mida kama saa tano-tano tayari kashachukua nchi VIVA LOWASSA, VIVA KIBA
 
nifah, we kumpongeza kiba si ajabu na mimi mapenzi yangu kwa DIAMOND hayafi kisa anashabikia ccm na mi ni UKAWA. Na hao wote wanaomponda DIAMOND ndio wale wakila siku wanaomponda hawajawahi kumsifia wala kumpongeza na hapa wameongezewa 7bu 2.
 
Mkuu samsun natambua mapenzi yako kwa diamond kama vile wewe unavyotambua yangu kwa Ali Kiba.
Uzi wangu huu sikuwa na lengo la kuwashawishi watu wasiwe na mapenzi na diamond bali kumpongeza Ali Kiba.
Nadhani umenielewa vyema.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu samsun natambua mapenzi yako kwa diamond kama vile wewe unavyotambua yangu kwa Ali Kiba.
Uzi wangu huu sikuwa na lengo la kuwashawishi watu wasiwe na mapenzi na diamond bali kumpongeza Ali Kiba.
Nadhani umenielewa vyema.

Huyo huwa ana kama kimuhe muhe, sehemu yeyote wakimtaja Kiba anachanganyikiwa kabisa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom