Hizi ni Salamu za pongezi kwa Ali Kiba

Ungejua kuwa sisi sote kwenye familia yetu tumesoma. Mwenye elimu ndogo mpaka sasa kwetu yuko form five na yuko bright mno hivyo uwezekano wa yeye nae kufika university ni mkubwa kwa uwezo wa mungu.Na mimi mwenyewe nina Masters.

Jamaaaaan! Thank God amekufunua rasm!

Kumbe wewe kuwa na masters ndo ndoto za ukoo wenu!?
No wonder ukishashiba unaona waliokufa hawana maana! !
Napoteza muda kujibizana nawewe hapa! ! ! Fokofu kabisa! Unadinywa kabisa wewe trust me jichunguze
 
Mimi nina kazi yangu nzuri tuu. Wataka inikomboe vp tena hali ya kuwa maisha yangu saafi na familia yangu saafi. Ukombozi gani tena wataka wewe??
 
Kumbe umejiunga na UKAWA sababu ya njaa zako??wadhani njaa zako ndo zitaondolewa na UKAWA? basi utangoja sana ndugu yangu. Manake UKAWA hawataingia IKULU . Kwahiyo utaendelea kuteseka maisha yako yooote.
 

Ujumbe wako hapo juu.
 
Itabid tutumie msemo mmoja wa wamarekani "No matter whether he will bring development or not we will choose Obama to show the world that America is for everyone"

Sisi tunasema "No matter whether he will bring development or not we will choose Lowasa from UKAWA to show the World that Tanzania is not for CCM only"
 
Yani kuna huyu rafiki yako ananichekesha.Anaropoka tu, kama amepandwa maruhani, afu nkishaona kajina kake nascroll chini tu, najua ni pumba plus plus.
Ccm hamniambii kitu.

Mwenzangu huyo kapandwa na maruhani kweli.
Naishia kucheka tu, sio bure huyu atakuwa kichaa.
 
Ndiyo maana nasema nyinyi mnaota. Yaani mnatakiwa kusahau kuhusu urais kwa LOWASSA. SAHAUNI kabisaaaa.
 
Suala la elimu yangu muliuliza wenyewe. Ndo nikawajibu.wewe unajua mimi natembelea gari gani??
 
eti nina master, mshkaji wangu dick sound ana maisha mazuri na anaendesha ndinga kali, unajua elimu yake

Kumbe Dick Sound ni mshkaji wako? Hizi fake id's ziheshimiwe tu.
I mean huenda tunafahamiana lakini tuendelee kufurahia fake id's zetu.
 
Kwa bahati nzuri matusi kwangu wala hayanikeri. Na dalili ya mtu kushindwa hoja ni pale anapoamua kutukana.
 
Na mimi ni muungwana na wazazi wangu ni waungwana wamenilea vema. Sikutukani. Kwani msemo wa waungwana ni kuwa usibishane na mpumbavu kwa sababu werevu hawataona tofauti
 
Kumbe Dick Sound ni mshkaji wako? Hizi fake id's ziheshimiwe tu.
I mean huenda tunafahamiana lakini tuendelee kufurahia fake id's zetu.

huyu dada anachukulia watu simple humu kwa kazi ya kuajiriwa, nchi bado haina fursa hii, siku akifunguka ataelewa, unajua whatsapp zuckerberg alinunua kiasi gani? kutoka kwa nani? kama mtu hafai leo haimaanishi kuwa hafai kesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…