Hizi ni Salamu za pongezi kwa Ali Kiba

Juzi king kala million 25 kimyakimya kama upepo...katoka Kenya kapiga tukio bongo akarudi zake Kenya kimyakimya. ..
 
Hahahaaaaa, kaka hata wewe ukizingua ukae mbali na mimi.
Sitaki urafiki na wajinga wanaotaka kuiangamiza nchi yangu kipenzi Tanzania.

nimekubali mawazo yako. bigup sana nifah.
heshima pia kwa Alikiba
 
Last edited by a moderator:
Mfalme Kasema Rais wake Magufuli...wa UKAWA...
 
Kimbley leo una furaha sana ila sawa no way out
 
Last edited by a moderator:
Wanaharibu sasa. Hivi kiba hakuona huu uzi?
 
Kimbley leo una furaha sana ila sawa no way out

mkuu vipi, na alikiba atashuka kama diamond??

maana page zao za kisanii wamebadilisha uwanja wa kujieleza kisiasa hahaha
 
Last edited by a moderator:
mkuu vipi, na alikiba atashuka kama diamond??

maana page zao za kisanii wamebadilisha uwanja wa kujieleza kisiasa hahaha
Mkuu post ya daimond kuhusu ccm ni tofauti na ya kiba mkuu
 
Hebu leta huo ushahidi wa kiba alivyopost ccm yeye kasema rais wake ni magufuli kapost ccm sasa hapo au katoa mawazo yake

Hahahaaa Nyeusi lazima muiite nyekundu mwaka huu. Byee.
 
Hahahaaa Nyeusi lazima muiite nyekundu mwaka huu. Byee.
Sawa basi tufanye ndo hvyo isiwe kesi ila ukweli unajulikana hajawahi piga show ya siasa na kwa nn kachelewa kupost ccm kabla ya wasanii wenzake wote tafakari chukua hatu kiba4life anajielewa
 
Alikiba alikuwa anatuzuga tu bt mwisho wake tukajua nae ndo walewale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…