Hizi ni Salamu za pongezi kwa Ali Kiba

Kwanza jiulize we ni nani na unamchango gani kwa mafaniko ya daimond jibu lake kalitoa mzee mkapa. We nani mbele ya daimond usipompenda wewe atapungukiwa nini alichukiwa na watu wa maana mwisho wa siki wakanyooka kafie mbele.

Kwendraaa, kwani huyo domo ni nani kwangu hadi iwe lazima nimpende?
Au kuna ulazima wa kumpenda? Simpendi na wala sitokaa nimpende.
Kajinyonge vizuri sasa.
 
#Alikiba yupo Nchini kenya leo, Mombasa ana show kubwa tu inafanyika leo. Japokuwa aliitwa kwenye show ya jangwani lakin alikataa mualiko huo kwa maslah ya fans wake wa mchanganyiko wa itikadi za vyama.
 
Attachments

  • Screenshot_2015-08-23-14-10-30.png
    64.7 KB · Views: 205
Kwendraaa, kwani huyo domo ni nani kwangu hadi iwe lazima nimpende?
Au kuna ulazima wa kumpenda? Simpendi na wala sitokaa nimpende.
Kajinyonge vizuri sasa.

Sasa kama humpendi kelele za nini hapa jukwaani afu dimond hana time na vinuka mkojo hata umchukie kazi bure demu wake mzuri na ana pesa akimpenda yeye inatosha mbona ukawa wapo madereva bodaboda kibao tu na vibaka wenzio si mpendane mukazae kunguru mbele ya safari huko.
 
Jinga ni mond kashikishwa mtoto,na alietuita wapumbavu nae analea wa mramba
 
Hahahaaaaa, nimekusoma janja yako unataka unitoe katika mood kisha tubishane na kutoleana maneno machafu hapa mwisho nipigwe ban.
Poleeee! King Kiba atosha, furaha aliyonipa leo hakuna wa kuivuruga.
 
#Alikiba yupo Nchini kenya leo, Mombasa ana show kubwa tu inafanyika leo. Japokuwa aliitwa kwenye show ya jangwani lakin alikataa mualiko huo kwa maslah ya fans wake wa mchanganyiko wa itikadi za vyama.

Asante sana Ali Kiba kwa kujali.
Kila la kheri kwenye show yako huko Mombasa.
 
Hahahaaaaa, nimekusoma janja yako unataka unitoke katika mood kisha tubishane na kutoleana maneno machafu hapa mwisho nipigwe ban.
Poleeee! King Kiba atosha, furaha aliyonipa leo hakuna wa kuivuruga.

Huo ndio ukweli daimond hakujui na hana mda ba wewe hivyo kumchukia kwako hakuna maana yoyote zaidi ya kujipa vidonda vya tumbo tu.
UTANYOOKA TU
 
Kajinyonge mbele kwa mbele.
Utaishia kusifia wanaume wenzio mpaka siku yako ya mwisho.
Umekuja kumu attack mtoa mada, na vimaneno vyako vya taarabu.
Kinuka mkojo mkubwa wa kwanza ni wewe.
 
Huo ndio ukweli daimond hakujui na hana mda ba wewe hivyo kumchukia kwako hakuna maana yoyote zaidi ya kujipa vidonda vya tumbo tu.
UTANYOOKA TU

Hahahaaaaa, hata mimi sina muda wa kujulikana na yeye.
Ali Kiba wangu ananijua na anajivunia kuwa na shabiki kama mimi.
Hili kwangu linatosha kabisa.
 
Kajinyonge mbele kwa mbele.
Utaishia kusifia wanaume wenzio mpaka siku yako ya mwisho.
Umekuja kumu attack mtoa mada, na vimaneno vyako vya taarabu.
Kinuka mkojo mkubwa wa kwanza ni wewe.

Ukisikia kwiih! Imeingia
 
Hahahaaaaa, hata mimi sina muda wa kujulikana na yeye.
Ali Kiba wangu ananijua na anajivunia kuwa na shabiki kama mimi.
Hili kwangu linatosha kabisa.

Na kwa kujua unamapenzi na kiba ndio maana wengine tunaheshimu maamuzi yako na hatuwezi kukuandika humu au kuonyesha chuki zetu kama unavyofanya wewe sawa?
 
Pongezi kwake king kiba kujiweka mbali na siasa na kuwakimbia ccm #Respect #kingkiba
 
Na kwa kujua unamapenzi na kiba ndio maana wengine tunaheshimu maamuzi yako na hatuwezi kukuandika humu au kuonyesha chuki zetu kama unavyofanya wewe sawa?

Wewe utakua umelewa sio bure! Umeheshimu maamuzi yangu wapi?
Hayo matusi unayotukana ndio heshima?
Hata hivyo sioni haja ya kuendelea kulumbana hapa.
Kila mtu abaki na maamuzi yake na kuheshimu ya mwenzie.
 
Attachments

  • 1440354938992.jpg
    52.9 KB · Views: 160
  • 1440354979602.jpg
    45 KB · Views: 156
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…